Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.

Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa ajili ya kumtafuta bwana Deo .

Mmiliki wa hoteli hiyo aliongeza kwa kusema kuwa hata hivyo camera za CCTV ziliwanasa wakiwa wanaingia.

Your browser is not able to display this video.

 
alitakiwa ajiandae vizuri kukabiliana nao.
 
Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Sasa muhalifu sugu ndo akamatwe kwa njia ya kutekwa?

Kwamba polisi wangeenda na uniform, defender na warranty wasingeweza kumkamata?

Hata wewe mwenyewe ukiangalia hiyo video hapo juu, hivyo ndivyo polisi wanatakiwa kukamata muhalifu?
 
Hii nchi saivi kila mtu kambale. Imagine hawakuhofia chochote wakarudi siku hiyohiyo eneo la tukio. Hii inathibitisha kuwa tukio limefanywa na chombo cha dola.... Hakuna mtekaji anaweza rudi eneo la tukio siku hiyohiyo baada ya tukio lake la kwanza kufail huku akijua fika vyombo vya dola tayari vina taarifa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…