Wale sio askari polisi.
Wale ni wahuni japo ni machawa wa watu fulani.
Polisi matukio mengi wanalazimishwa ili kulinda taswira ya wale wanaowatuma .
Ukitaka ujue mwenye mbwa mpige.
Wananchi walitakiwa washambulizi lile gari kwa mawe na kufunga barabara kwa mawe na magogo kisha walitie moto . Hapo ungejulikana nani mwenye mbwa.
Siku hizi kuna machawa wapumbavu sana wanaofanya uhuni wa kijinga kwa kutegemea kulindwa.
Lakini pia yule jamaa anaonekana hana maelewano na watu wa mtaa ule kama hakuna chuki za kikabila na kidini maana nazo zmeanza chinichini kutokana na utawala dhaifu uanopenyeza uhalifu dhidi ya binadamu.
Mitano tena haikubaliki Taifa hili ni muhimu kuliko mtu yeyote