Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Ina maana hujui ni kwa nini watu wanalalamika? Shida siyo kukamatwa. Shida ni namna alivyokamatwa kwa kutekwa. Polisi inatakiwa kufuata sheria wakati wa kukamata mshukiwa na kuna sababu nzuri tu za kuweka utaratibu.
 
Sema naendelea kuamini kuwa askari wengi ni dhahifu na wengi wanaongezewa kujiamini pindi wakiwa na silaha na baada ya kuwa wamemkamata mtu wanaemtaka.

Kwa namna ya video ile ni wazi wale jamaa wangetua mikononi mwa mtu anaeweza kupinga ngumi kwa ustadi wangetepeta sana. Na muhalifu angeweza akawageuza askari kuwa wahalifu kwa kipigo cha mbwa koko.
Wale sio askari polisi.
Wale ni wahuni japo ni machawa wa watu fulani.

Polisi matukio mengi wanalazimishwa ili kulinda taswira ya wale wanaowatuma .

Ukitaka ujue mwenye mbwa mpige.

Wananchi walitakiwa washambulizi lile gari kwa mawe na kufunga barabara kwa mawe na magogo kisha walitie moto . Hapo ungejulikana nani mwenye mbwa.

Siku hizi kuna machawa wapumbavu sana wanaofanya uhuni wa kijinga kwa kutegemea kulindwa.

Lakini pia yule jamaa anaonekana hana maelewano na watu wa mtaa ule kama hakuna chuki za kikabila na kidini maana nazo zmeanza chinichini kutokana na utawala dhaifu uanopenyeza uhalifu dhidi ya binadamu.

Mitano tena haikubaliki Taifa hili ni muhimu kuliko mtu yeyote
 
Huyo Deo ni mkazi wa Kibaha, tukio limetokea Kiluvya, siyo mitaa yake.
 
Aiseee

Mbinu za kurudi eneo la tukio ni za kizamani sana
Ukiona hivyo hao siyo professional kwenye utekaji. Huenda polisi alikuwepo kweli kati yao.
Unaweza kuwa alishatakiwa na mtu wakaenda kumkamata kimtaani kama Askari kanzu.
Walitakiwa waoneshe ID na RB toka kituo cha polisi alikoshitakiwa.
 
Huyo mmiliki na yeye muoga tu, aachie hizo footage za cctv, kuna ile footage wanamkokota kumtoa nje ya hotel na hizo walizorudi usiku...
 
Back
Top Bottom