Baada ya kusikia nimepata matatizo amenitafuta, naitaji msaada huu

Habari za uzima, niliachana na girlfriend wangu niliye dumu nae kwenye mahusianomiaka mingi, yapata miezi kadhaa nyuma kutoka leo tangu niachane nae (yeye ndio aliniacha), kuna matatizo yalinitokea week iliyopita (matatizo ya kifamilia) wakati nipo kwenye pilika pilika za hapa na pale za kusolve maana ilinibidi nisafiri kwenda mkoani kuyasove, ghfla bin vuu naona sms inaingia kwenye simu yangu,

kuangalia nakutana na uyo X-Girlfriend wangu kunisalimia na kwenda moja kwa moja kwenye dhumuni la kunitafuta (alidai ni kunijulia hali na kunipa pole kwa ayo matatizo), nilikuja kujibu mawasiliano yake baada ya masaa 8 mbele. kwa kumuambia nashukuru

Kesho yake alinitafuta tena kujua nimefikia wapi, na ayo matatizo nilimueleza (tuliongea vizuri tu kwa njia ya voice), Na amekuwa akifanya ivyo ila dhumuni lake la kunitafuta likiwa ni kujua nimefikia wapi na ayo matatizo nilio pata, kwa jinsi alivyo nikosea sikudhani kama anaweza kuja kunitafuta bila kukiri ni jinsi gani alinikosea, akinitafuta tunaongea as if hakuna kilicho tokeaga katikati yetu (ila simpi nafasi ya kuongea sana na nini)

Now akinitafuta kujua nilipo fikia namjibu, asipo nitafuta simtafut ata kidogo (na sijawai kumtafuta mimi tangu ameanza kunitafuta),

Uyu binti naitaji msaada mmoja ndugu zangu: Nataka nimrudishe kwenye angle yangu niendelee kula mzigo kama kawaida, lakini sitaki anione kuwa namuwinda (hapa najitahidi sana kutokumtafuta kabisaa, mpaka anitafute yeye)

Sijui maisha yake ya sasa, maana sijawai kumfatilia sijui kama ameshapata mtu ndani ya iyo miezi 3 tulio kaa bila mawasilino yeyote yale (na sijawai kumuuliza kwenye mambo yake tangu aanze kunitafuta).

Nataka msaada wenu mmoja tu... njia gani nitamvuta au nitumie kuendelea kula Tunda bila shida yeyote, nataka nitumie njia ambayo haita fanya thamani yangu kushuka (sitaki kumuonyesha kama namuwinda any more)

Note: Ndiye binti niliotokea kumpenda sana enzi tulipokuwa pamoja, ndiye binti aliye umiza moyo wangu mpaka tukaachana.

Karibuni wakuu.
Kukosana kwenye maisha kupo hasa kwenye mahusiano ,kama kajirudi msamehe tuu!Tena kajirudi wakati wewe una matatizo,fikiria mara2!
 
Nashauri utupe summary alikukoseaje? Itachochea ushauri wenye manufaa, ingefaa pia ikikupendeza tukajua aina ya matatizo au tatizo ili tuone muktadha wa akufaae kwa dhiki na faraja. Ni ombi tu nawasilisha
 
Kulificha penzi ni sawa kulificha kaa la moto kiganjani....kadri unavyojitahidi kulizuia ndio unavyozidi kuungua........

Mapenzi hayana unafiki kwa kuwa yanakuja yenyewe na kuondoka yenyewe automatically.......

Mapenzi hayana kipimo wala makadirio.....kama mtu humpendi ni humpendi tu.....kama mtu unampenda ni unampenda tu..........

Wacha kuikaraisha katika dunia hii iliyojaa vilio, mateso,chuki na husda kila mahala......kama unampenda mpokee kama humpendi achana naye.....it's so simple........

NB;
Kumpenda mtu ni jambo la kwanza na kuishi na umpendaye ni jambo la pili.....
 
Kwani mkuu ulitakaje! Mwenyewe kesha jirudi na kupitia matatizo uliopata ndo kaona nafasi ya kurudisha mawasiliano.
Njia aliotumia ni sahihi ni wewe tu kama kweli bado unamhitaji mpe njia ya kukuomba msamaha na maisha yaendelee, sio kufupisha fupisha maongezi (kununa) siku moja mpe nafasi aongee mpaka uhakikishe lengo lake amelisema"

"Kilichopo kwa sasa bado wote mnapendana, mtu aliemzuzua mara ya kwanza amegundua hakufikii wewe ndo anajirudisha kwako"
 
Habari za uzima, niliachana na girlfriend wangu niliye dumu nae kwenye mahusianomiaka mingi, yapata miezi kadhaa nyuma kutoka leo tangu niachane nae (yeye ndio aliniacha), kuna matatizo yalinitokea week iliyopita (matatizo ya kifamilia) wakati nipo kwenye pilika pilika za hapa na pale za kusolve maana ilinibidi nisafiri kwenda mkoani kuyasove, ghfla bin vuu naona sms inaingia kwenye simu yangu,

kuangalia nakutana na uyo X-Girlfriend wangu kunisalimia na kwenda moja kwa moja kwenye dhumuni la kunitafuta (alidai ni kunijulia hali na kunipa pole kwa ayo matatizo), nilikuja kujibu mawasiliano yake baada ya masaa 8 mbele. kwa kumuambia nashukuru

Kesho yake alinitafuta tena kujua nimefikia wapi, na ayo matatizo nilimueleza (tuliongea vizuri tu kwa njia ya voice), Na amekuwa akifanya ivyo ila dhumuni lake la kunitafuta likiwa ni kujua nimefikia wapi na ayo matatizo nilio pata, kwa jinsi alivyo nikosea sikudhani kama anaweza kuja kunitafuta bila kukiri ni jinsi gani alinikosea, akinitafuta tunaongea as if hakuna kilicho tokeaga katikati yetu (ila simpi nafasi ya kuongea sana na nini)

Now akinitafuta kujua nilipo fikia namjibu, asipo nitafuta simtafut ata kidogo (na sijawai kumtafuta mimi tangu ameanza kunitafuta),

Uyu binti naitaji msaada mmoja ndugu zangu: Nataka nimrudishe kwenye angle yangu niendelee kula mzigo kama kawaida, lakini sitaki anione kuwa namuwinda (hapa najitahidi sana kutokumtafuta kabisaa, mpaka anitafute yeye)

Sijui maisha yake ya sasa, maana sijawai kumfatilia sijui kama ameshapata mtu ndani ya iyo miezi 3 tulio kaa bila mawasilino yeyote yale (na sijawai kumuuliza kwenye mambo yake tangu aanze kunitafuta).

Nataka msaada wenu mmoja tu... njia gani nitamvuta au nitumie kuendelea kula Tunda bila shida yeyote, nataka nitumie njia ambayo haita fanya thamani yangu kushuka (sitaki kumuonyesha kama namuwinda any more)

Note: Ndiye binti niliotokea kumpenda sana enzi tulipokuwa pamoja, ndiye binti aliye umiza moyo wangu mpaka tukaachana.

Karibuni wakuu.
Mkuu huna hajaa ya kuumiza kichwa we nenda nae taratibu jifaanye kama huna time naee hata kidogo, atakuja mwenyewe nahisi huko aliko kuwa ameenda ameona hamna mwelekeoo
 
Oya wewe naona ni mgeni wa mapenzi hakuna mahusiano yasiyo kosa kash kash, msamehe malizeni tofauti zenu, hayo mambo mbona yana zungumzika..? Na pili ukizingatia una sema mwenyewe ndiye binti uliyetokea kumpenda sana, hakuna kusubiri hapo jitoe ufahamu tu, binti mwenyewe anaonekana kukujali.
 
Alikuacha ukaumiaaa

Amerudi bado unamsololea awamu hii mpaka utembee na moyo wako kwenye kabegi maana ndani ya mwili haustahimili
 
Unataka mbinu gani tena wakati mtu keshajileta mwenyewe mkuu. Sijui vijana mnafeli wapi
 
Habari za uzima, niliachana na girlfriend wangu niliye dumu nae kwenye mahusianomiaka mingi, yapata miezi kadhaa nyuma kutoka leo tangu niachane nae (yeye ndio aliniacha), kuna matatizo yalinitokea week iliyopita (matatizo ya kifamilia) wakati nipo kwenye pilika pilika za hapa na pale za kusolve maana ilinibidi nisafiri kwenda mkoani kuyasove, ghfla bin vuu naona sms inaingia kwenye simu yangu,

kuangalia nakutana na uyo X-Girlfriend wangu kunisalimia na kwenda moja kwa moja kwenye dhumuni la kunitafuta (alidai ni kunijulia hali na kunipa pole kwa ayo matatizo), nilikuja kujibu mawasiliano yake baada ya masaa 8 mbele. kwa kumuambia nashukuru

Kesho yake alinitafuta tena kujua nimefikia wapi, na ayo matatizo nilimueleza (tuliongea vizuri tu kwa njia ya voice), Na amekuwa akifanya ivyo ila dhumuni lake la kunitafuta likiwa ni kujua nimefikia wapi na ayo matatizo nilio pata, kwa jinsi alivyo nikosea sikudhani kama anaweza kuja kunitafuta bila kukiri ni jinsi gani alinikosea, akinitafuta tunaongea as if hakuna kilicho tokeaga katikati yetu (ila simpi nafasi ya kuongea sana na nini)

Now akinitafuta kujua nilipo fikia namjibu, asipo nitafuta simtafut ata kidogo (na sijawai kumtafuta mimi tangu ameanza kunitafuta),

Uyu binti naitaji msaada mmoja ndugu zangu: Nataka nimrudishe kwenye angle yangu niendelee kula mzigo kama kawaida, lakini sitaki anione kuwa namuwinda (hapa najitahidi sana kutokumtafuta kabisaa, mpaka anitafute yeye)

Sijui maisha yake ya sasa, maana sijawai kumfatilia sijui kama ameshapata mtu ndani ya iyo miezi 3 tulio kaa bila mawasilino yeyote yale (na sijawai kumuuliza kwenye mambo yake tangu aanze kunitafuta).

Nataka msaada wenu mmoja tu... njia gani nitamvuta au nitumie kuendelea kula Tunda bila shida yeyote, nataka nitumie njia ambayo haita fanya thamani yangu kushuka (sitaki kumuonyesha kama namuwinda any more)

Note: Ndiye binti niliotokea kumpenda sana enzi tulipokuwa pamoja, ndiye binti aliye umiza moyo wangu mpaka tukaachana.

Karibuni wakuu.
Kuficha mapenzi yako ni kama kuficha ushuzi wakati tumbo limejaa gesi, jiachie mkuu jamba kwa nafasi maana inapunguza gesi tumboni. Wala kumuonyesha kwamba unampenda au kumhitaji sio kujishushia hadhi yako.
 
Utoto and your ego vinakusumbua angekutafuta wakati ana shida zake pengine tungejushauri, ila hapa shauriwa na "wakulungwa wenzako"
 
Huenda alipata mwanaume mwingine aliyempemda na kumjali zaidi yako akaona akuache,leo hii huenda hawana mahusiano/maelewano mazuri na pia aliyotarajia kuyapata kwake hakuyapata hivyo akaona bora ajirudi kwako.Anyway wewe ndo mwenye kuamua ila kabla ya kufikia maaumuz ya kurudiana nae utafakari kwa kina sana.Then baada ya tafakari yako ya kina na ukaona uendelee kua nae basi hakikishen mnapima afya zenu bila kusahau kumpima na ujauzito.WAPO WENGI WALIOSINGIZIWA WATOTO NA KUAMBUKIZWA MAGONJWA KWA STAILI HIZI HIZI.
 
nakuelewa mkuu, sina ndoto aje kuwa mke wangu, ila nahitaji awe mtu ambaye nitakuwa nakidhi aja zangu tuu basi.
 
Mkuu, kwenye mapenzi, usitake kutafuta LAWAMA kwetu; wewe fata moyo wako unacho kwambia. Wanawake wachache sana hasa kama mliachana anaweza kukutafuta kwenye matatizo, wengi wao wangefurahi kukuona mzee unaadhirika (hi hata kwetu wanaume ni hivyo hivyo tu) but huyu kama kakufuata/kukutafuta wakati una matatizo, huyu ni.......! utajaza mwenyewe.
 
Hizo ni nyege tu mkuu.....ungekua chaputa ungeshampuuza kitambo....mwanaume kurudia matapish ni dalili ya mwanamke kukutawala...kama ulimfumania ana cheat..hyo dhambi huwa haisamehew...acha udhaifu kijana.mademu ni weng had tunawakimbia
 
mkuu mimi ninacho taka ni njia gani ntamvuta kabisa aingie kwangu, niendelee kumla, ila sina malengo..
 
Hizo ni nyege tu mkuu.....ungekua chaputa ungeshampuuza kitambo....mwanaume kurudia matapish ni dalili ya mwanamke kukutawala...kama ulimfumania ana cheat..hyo dhambi huwa haisamehew...acha udhaifu kijana.mademu ni weng had tunawakimbia
asante kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom