Baada ya kusoma vitabu zaidi ya 300, nimegundua kumbe nilitakiwa kusoma Biblia tu

Je lakini unaweza kuitetea hiyo Biblia MBELE za Waislam? Fika Uwanja wa Maonyesho Saba Saba tarehe 16-17 December 2023 ukaone NAMNA Mwl Francis Ndacha anavyoitetea Biblia MBELE ya Waislam

View: https://www.youtube.com/live/MjV6HoXEAIs?si=LA4NBzAi2a2F6QMn
 
Huwezi kuelewa bible maana upo confused and proud.
Kama ni kweli niko confused and proud, huo nao ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, na Biblia ni kitabu cha watu tu.

Kwa sababu Mungu huyo angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao kiumbe wake yeyote anaweza kuwa confused and proud.

Zaidi. Wewe unayejinadi kuwa upande wa kutetea Biblia, bila ya kuweza kutatua contradictions za wazi kabisa nilizoziweka hapa, zilizomo kwenye Biblia, sio tu uko confused and proud.

You are confused, ignorant and proud.
 


How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Huu ujumbe umetokana na mpasuko wa utupu, hakuna mtu anayeitwa kiranga. Kila kitu ni bahati nasibu katika ulimwengu wa utupu uliopasuka.
 
Huu ujumbe umetokana na mpasuko wa utupu, hakuna mtu anayeitwa kiranga. Kila kitu ni bahati nasibu katika ulimwengu wa utupu uliopasuka.
Logical non sequitur, logical fallacy.

Hata kama Kiranga hayupo, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Wanaelewa sana ila wana Ile cognitive dissonance.

Sasa sijui ku-overcome cognitive dissonance inatakiwa uwe vipi
 
Wanaelewa sana ila wana Ile cognitive dissonance.

Sasa sijui ku-overcome cognitive dissonance inatakiwa uwe vipi
Hao ni wale wanaojua Kiingereza na wasio na allergy kwenye kusoma.

I seriously think people who can read English with comprehension and have reading stamina are either agnostic/atheist or believers with cognitive dissonance.

Hao wengine wengi wao ama hawajui Kiingereza, ama kama wakijua Kiingereza wana allergy kwenye kusoma.
 
Mkuu naomba nitumie hiko cha surrounded by idiots [emoji120][emoji120]
 
Soma Qur'an ndipo utapoijuwa raha ya kusoma.
 
Safi sana. Mimi nilikuwa nakipindi changu maalum cha kusimulia story za biblia shule ya msingi. Vijana walikuwa anaelewa sana.

Biblia ni msitu wa maarifa ukiingia na akili za kirangaranga utaona kama ni kichaka tu.
 
Bible ina kila kitu,

Sema ukiweza pia kupanuka zaidi soma na vitabu pia.
Mambo mengi biblia inakutoa kwenye maandishi yake inakupa majibu na ufafanuzi wa kina katika asili inayokuzunguka unapoanza implementation ya concept za biblia..

Mfano, Imesema sisi tumeumbwa chini kidogo ya Mungu. Mchwa asiye na utashi anauweza wa kujenga kichuguu urefu mara laki ya kimo chake, sisi wenye akili kubwa kuliko mchwa utagundua hata kajengo ka uarabuni Burj Khalifa ni matumizi finyu sana ya uwezo wa mwanadamu. Sasa hii principle iko applied kwenye nyanja zote za maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…