Baada ya kusoma vitabu zaidi ya 300, nimegundua kumbe nilitakiwa kusoma Biblia tu

Bado hivyo ni vitu viwili tofauti, wewe hitaji lako ni Mungu ajidhirishe ajiweke wazi. Kuthibitisha uwepo wa kitu na hicho kitu kujidhirisha ni vitu viwili tofauti.
Basi afanye namna kila mtu awe na uhakika wa uwepo wake, kuwe na dini moja, mtazamo mmoja, itasaidia sana
 
Biblia ni kitabu kinachokutaka ufikiri na kuunganisha dots.
Ni kitabu kinachowapa nafasi wanyenyekevu wa fikra
Ukinyenyekea kitakuzamisha kutoka kilindi kimoja cha maarifa kwenda kingine bila kiu ya kufahamu kukata.
Kuna mtanzania anaitwa emilian busara, anavitabu vzur sana via uchumi madoka mengi viko hate mlimani city bookshop yani yuko vzur Kama rabbi Daniel lapin
 
Tumeambiwaje jinsi ya kuzika? kukoga janaba? kuoa mke mmoja? kujisafisha kwa toilet tissue? mavazi? Katika Biblia
 
Mkuu

Wakati mwingine ukishusha nondo kama hizi uni-tag!

Ni hivyo tu!
 
 
Sio kutunza pesa tu hadi chakula kisiharibike bidhaa zote za chakula ambazo zinazalishwa kiwandani nimatokeo biblia

Tujikumbushe yusuf ndio mtu wa kwanza kujua formula ya kutunza chakula muda mrefu kisiharibike
Ni kweli.
 
Hawa ndio wanakuharibu akili.
Sijaona contradiction hata moja hapo ila nimeona watu ambao vichwa vyao ndio vinacontradiction na wanatikiwa waponywe vichwa kwanza kabla hawajapata tiba za Biblia.
Usiwaamini hao, niamini mimi itakusaidia sana.
Usiandike "sijaona conyradiction hata moja".

Pangua hizo contradiction moja baada ya nyingine.

Onesha hii si contradiction, kwa sababu hii na hii.

Pangua zote.
 
Sio kutunza pesa tu hadi chakula kisiharibike bidhaa zote za chakula ambazo zinazalishwa kiwandani nimatokeo biblia

Tujikumbushe yusuf ndio mtu wa kwanza kujua formula ya kutunza chakula muda mrefu kisiharibike
Ona huyu nae unadhani watu wa zaman walikuwa wanaishi vipi sasa mkuu hizo mbinu ni za miaka maelfu mimi na wewe hatuzijui sababu kuna usasa na vifaa vya kisasa nowday..
 
Wakitoka kuskiliza mawaidha huwa wanakua wakali sana na hawawezi kujibu maswali tata Kwa kutumia Quran wao wanakimbilia kwenye hadithi za mtume walizosimuliwa huko kwenye mimbali
Tupe uthibitisho hoja yako
 
The son shall not bear the iniquity of the father…” — Ezekiel 18:20
“I the LORD thy God am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers upon the children unto the third and fourth generation…” — Exodus 20:5

Ukisoma biblia utaelewa vizuri hakuna contradictory yoyote kama kuna jamii zingine zilikataa kabisa kumuabudu Mungu wao walichonga masanamu yao ili wafiristi/wapalestina wanatajwa sana kama watu wasiotahiriwa mana wasiotaka kumjua Bwana jamii hii kutokana nakuitukuza miungu mingine waliadhibiwa kizazi mpaka kizazi

pia Mungu aliwakataza waisrael kuoa ama kuolewa na wafiristi

Pia kuna jamii ile ya wa watu wa sidoni/lebanon alipotoka malkia mchawi yezebeli hawa nao kutokana na uovu wao wakuchonga masanamu waliadhibiwa kizazi na kizazi
 
Mi nimeachaga kusoma Biblia kwa sababu inajipiga chenga yenyewe
Wanaoipaisha ama hawaisomi kwa jicho la kimantiki, ama hawaisomi kwa kina.

Na kutoisoma kwa jicho la kimantiki ni haki yao, kwa sababu Biblia inaweza kuwa kitabu cha imani.

Lakini, ukiisoma Biblia kama kitabu cha imani, halafu ukaanza kufanya objective book review kwamba Biblia ndiyo kitabu bora kabisa duniani, unakuwa ushatoka katika imani, umetoa statement of factual book review ambayo tunaweza kuihakiki. Tunaweza kuangalia mapungufu ya logic, ethics, history, science etc yaliyo katika Biblia. Na hapo tutapata mengi tu, mengi nimeyaweka hapa.

Tatizo watu wanatumia imani yao kama dira, yani wanaipaisha Biblia nje ya imani, kwa kutumia imani, si kwa kutumia facts. One is not supposed to do that.
 
Tumeambiwaje jinsi ya kuzika? kukoga janaba? kuoa mke mmoja? kujisafisha kwa toilet tissue? mavazi? Katika Biblia
Mbona umempa maswali magum wakristo na kuoga janaba wapi na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…