Baada ya kusoma vitabu zaidi ya 300, nimegundua kumbe nilitakiwa kusoma Biblia tu

Mkuu,

Nimeeleza specific point ya kuhusu vita kupingwa katika Buddhism, nikasema hapa Buddhism imeupita Ukristo. Nikatoa mpaka mfano wa Mfalme Asoka.

Nimeeleza vizuri tu kwamba Buddhism nayo ina matatizo yake.

Hujaniuliza hata naona Buddhism ina matatizo gani, unanishambulia kuwa naikubali Buddhism wakati ina reincarnation, unajuaje reincarnation si moja ya hayo matatizo ninayoyaona katika Buddhism?

Unasema nisipangie watu imani. Hunielewi, hunielewi, hunuelewi!

Nimeeleza kwamba sipangii mtu cha kuamini, mimi sina imani, lakini natetea haki ya kila mtu kuamini anavyotaka.

Nimesema haki ya kuamini ni haki ya kikatiba.

Nimesema haki ya kuamini ni haki ya utu na imeandikwa katika Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948.

Nimesema kuwa, hata serikali ikipinga watu kuwa na imani zao, mimi nitatetea haki za kila mtu kuwa na imani yake.

Nimepingana mpaka na atheist mwenzangu aliyesema kwamba yeye anataka kupiga marufuku imani, mimi nikasema hivyo si sawa, haki ya kuamini mtu anachotaka, au kutoamini, ni haki ya msingi, ni haki ya self determination, ni freedom of conscience, ni freedom of worship.

Nikaeleza nuance ya the thin line between imani na fact, na kwa nini mtu akileta mada za dini JF anajiondolea kinga ya faragha ya imani. Anakuwa ooen to public debate.

Ni wazi wewe umekurupuka kunihukumu bila kunisoma kwa kina. Hata hiyo post moja tu.

Umesoma kizembezembe sana uka ni attack tu kwa kuona unayotaka wewe, ukaacha nilichoandika mimi.
 
basi afanye namna kila mtu awe na uhakika wa uwepo wake, kuwe na dini moja, mtazamo mmoja, itasaidia sana
Mbona unaelezea kana kwamba jinsi ilivyo sasa ni kama ni kinyume na alivyotaka iwe(huyo Mungu) ndio maana unashauri njia unayoona wewe bora?

Kila kila jambo lina makusudio yake, sasa kwa hivyo unavyoshauri wewe iwe je makusudio ya kufanya ni yapi?


Kwa jinsi tunavyoelezewa huyo Mungu na uwezo wake hicho unachokisema kingewezekana kama angetaka iwe hivyo, lakini ukiangalia hivi ilivyo utaona mazingatio yapo kwa mtu kukubali kuamini kwa hiyari na kutekeleza maamrisho kwa ishara na dalili tu.
 
Ohh! Asante, inawezakutusaidia nyakati zetu hizi?
 
Mkuu,

Sijakuelewa.

1.Umeweka aya mbili zenye contradiction.
2. Umesema kuwa ukiisoma Biblia vizuri haina contradiction.
3. Nikafikiri unaenda kutatua hiyo contradiction, lakini hujaitatua.

Kama the son shall not bear the iniquity of the father, inakuwaje Mungu anasema atawahukumu watoto vizazi na vizazi tena?

Inakuwaje watu tunaambiwa tuna dhambi ya asili kutoka kwa Adamu na tutakula kwa shida, kwa sababu ya makosa aliyoyafanya Adam?

Wakati sisi hatujafanya hiyo dhambi aliyoifanya Adam?

Hujatatua contradiction hii.
 
Nimeishia kifungu cha tatu,
 
Hawataki kuamini kama haya mambo ni imani tu na hayana udhibitisho wowote .
 
Imani ni shambulio la akili
 
Usiandike "sijaona conyradiction hata moja".

Pangua hizo contradiction moja baada ya nyingine.

Onesha hii si contradiction, kwa sababu hii na hii.

Pangua zote.
Wewe ugoogle tuhuma za Biblia, uzilete nzimanzima alafu useme tukutatulie. Narudia hakuna contradiction hapo.
Vichwa vilivyoandaa hilo jarada ndio vinacontradictions.

Biblia sio kitabu cha kubishania. Ni kitabu cha kumulikia giza ubongoni. Na baada ya utafiti wangu nimegundua badala ya kusoma mavitabu meengi mtu akisoma biblia tu anapata kila kitu, na akiwa na hamu ya kuzama zaidi kwenye taaluma yoyote akianzia kwenyw Biblia itamzamisha kwenye vina vya taaluma yake na vitabu vyovyote atakavyosoma vitakuwa vimesharahisishwa.


Hiki ndio nataka uelewa ma kujadili
 
Wewe unaruhusiwa ku nukuu Biblia nzima, ila mimi siruhusiwi ku nukuu ki website kimoja kinachoonesha mapungufu ya Biblia?

Unajikita kuangalia mantiki ya hoja zinazoletwa hapa, au zimetoka wapi?

Hujatatua contradictio hata moja mpaka sasa.
 
Wewe unaruhusiwa ku nukuu Biblia nzima, ila mimi siruhusiwi ku nukuu ki website kimoja kinachoonesha mapungufu ya Biblia?

Unajikita kuangalia mantiki ya hoja zinazoletwa hapa, au zimetoka wapi?

Hujatatua contradictio hata moja mpaka sasa.
Contradictions hazipo hapo. Vichwa vya walioquote hizo na wewe mfuasi wao ndio mnacontradictions.
Hivyo siwezi kujikita humo, najikita kwenye mindest mbovu iliyonukuu hayo.

Hapo hakuna cha kutatua.
 
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Contradictions hazipo hapo. Vichwa vya walioquote hizo na wewe mfuasi wao ndio mnacontradictions.
Hivyo siwezi kujikita humo, najikita kwenye mindest mbovu iliyonukuu hayo.

Hapo hakuna cha kutatua.
Contradiction ni nini? Tuanzie hapo.
 
Contradiction ni nini? Tuanzie hapo.
Kwa sababu wewe ndio umeleta mambo ya contradictions kwenye mjadala wa ubora wa Biblia dhidi ya vitabu vyote. Wewe ndio unafungwa kutoa maana.
 
Kwa sababu wewe ndio umeleta mambo ya contradictions kwenye mjadala wa ubora wa Biblia dhidi ya vitabu vyote. Wewe ndio unafungwa kutoa maana.
Hapana, wewe umelitumia hilo neno, nataka nijue kama tunaelewana, kama unapolitumia una maana ile ile ninayoitumia mimi ama una maana nyingine?

Na sitaki kuanza ku define cintradiction, maana unaweza kuwa hujui maana ya contradiction, nikianza kundefine mimi ukanigezea na kukubalintu wakati kumbenulikuwa hata hujui maana ya contradiction.

Sasa, achana na nilichosema mimi.

Wewe, unapoandika contradiction, unamaanisha nini?

Tusije kuwa tunataja neno moja, tukimaanisha mambo mawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…