- Thread starter
- #21
Pita kimya kimyaCrap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pita kimya kimyaCrap
Nikiwaita misogynists mnawaka! Kosa la mwanamke ni kuamua kuachana na msaliti kwa amani? Wangeuana je? We ni mpuuziProblem with wanawake wa kibongo ni ubinafsi
Walizingua hapa tu.mapenzi mpaka ndoa
How?Walizingua hapa tu.
Wanandoa ugomvi wao ni siri wewe acha kujifanya unachukua upandeWanaume mlivyo wabinafsi mnamtetea mwanaume mwenzenu ila mkiambiwa muwe mnatulia na wake zenu hamtaki! Mnadhani wanawake hawana mioyo ya kuumia?
Mjifunze kwamba mkiumiza wake zenu muwe mnajiandaa na matokeo pia kwamba wataondoka tu! Na mnatakaga wawasamehe kama ni lazima vile.
Wengi wetu wahenga tunaijua hii couple
Raqey ni mtu mwenye historia ya kusisimua katika kujitafuta kwake mpaka kujipata (zero to hero)
Sarah pia ni mwanamke mrembo na mpambanaji sana, kajipata kwenye biashara ya chakula
Kwa pamoja historia yao ya mapenzi mpaka ndoa ilikua ni nzuri sana, wamepitia mengi na wamesaidiana sana katika hustle zao mpaka kuwa wa juu... na pamoja wana watoto wanne vijana wawili na mabinti wawili
Mwaka 2023 kulikua na tetesi kwamba mume ni msaliti na picha zilivuja yupo na K mnato ya kiasia (mchina). Lakini wote wakaja front na kusema kwamba wameachana kwa amani na kila mtu ana mishe zake wanalea watoto kwa pamoja
Lakini currently tetesi zimevuja baba wa familia amegundulika na cancer anatakiwa kuanza matibabu na kubwa kuliko ANAMUOMBA MKEWE AMRUDIE
my take:
1. Binafsi nisingemrudia sababu iko wazi anahitaji tu msaada wa mtu wa kumuuguza na sio kwamba mapenzi yamerudi kwa mtalaka wake
2. Binadamu ni social beings, utu uzima huwa unakua mtamu kama ukiwa na mwenza mliyeshibana whether unaumwa au huumwi
Hivyo basi ukiwa unamtaliki mwenzio, hakikisha una mbadala wa kueleweka
Hii tabia ya kuzagaa halafu yakikukumbuka unarudi kwa mkeo anakupokea ilikua wanawake wa zamani, wa siku hizi wana roho ngumu kwelikweli
alivosema anashauri ama angekua yeye wasingerudianaUbinafsi upo wapi hapo?
Kwani Da Mange kasemaje?Wengi wetu wahenga tunaijua hii couple
Raqey ni mtu mwenye historia ya kusisimua katika kujitafuta kwake mpaka kujipata (zero to hero)
Sarah pia ni mwanamke mrembo na mpambanaji sana, kajipata kwenye biashara ya chakula
Kwa pamoja historia yao ya mapenzi mpaka ndoa ilikua ni nzuri sana, wamepitia mengi na wamesaidiana sana katika hustle zao mpaka kuwa wa juu... na pamoja wana watoto wanne vijana wawili na mabinti wawili
Mwaka 2023 kulikua na tetesi kwamba mume ni msaliti na picha zilivuja yupo na K mnato ya kiasia (mchina). Lakini wote wakaja front na kusema kwamba wameachana kwa amani na kila mtu ana mishe zake wanalea watoto kwa pamoja
Lakini currently tetesi zimevuja baba wa familia amegundulika na cancer anatakiwa kuanza matibabu na kubwa kuliko ANAMUOMBA MKEWE AMRUDIE
my take:
1. Binafsi nisingemrudia sababu iko wazi anahitaji tu msaada wa mtu wa kumuuguza na sio kwamba mapenzi yamerudi kwa mtalaka wake
2. Binadamu ni social beings, utu uzima huwa unakua mtamu kama ukiwa na mwenza mliyeshibana whether unaumwa au huumwi
Hivyo basi ukiwa unamtaliki mwenzio, hakikisha una mbadala wa kueleweka
Hii tabia ya kuzagaa halafu yakikukumbuka unarudi kwa mkeo anakupokea ilikua wanawake wa zamani, wa siku hizi wana roho ngumu kwelikweli
Hana haja ya kurudiana ili iwe hivyo.....Unawaza pafupi sana,huyo mwanaume anataka kurudiana na mkewe ili mali zote za urithi zibaki kwa huyo mke wake na watoto,jiongeze!
Ungekua ni wewe ndio mkeo mmeachana kaenda kupuyanga huko anarudi tena akiwa mgonjwa ungempokea? Jibu bila upendeleo.alivosema anashauri ama angekua yeye wasingerudiana
Huwezi kunirudia wakati unaumwa wakati uliondoka kwangu mzima.alivosema anashauri ama angekua yeye wasingerudiana
Tena anakuja na ugonjwa ambao itakubidi upunguze shughuli zako ili umuhudumie kwa ufanisiUngekua ni wewe ndio mkeo mmeachana kaenda kupuyanga huko anarudi tena akiwa mgonjwa ungempokea? Jibu bila upendeleo.
Anaweza akaandika wosia kwamba siku akifa mali ziende kwa ex wife na watoto.Unawaza pafupi sana,huyo mwanaume anataka kurudiana na mkewe ili mali zote za urithi zibaki kwa huyo mke wake na watoto,jiongeze!
Na mchina wake hapo ukute ashakula kona. Kwa kweli akauguzwe na nduguzwe.Huwezi kunirudia wakati unaumwa wakati uliondoka kwangu mzima.
Ana ndugu na jamaa wamuuguze hao sababu mpaka anakuja kwangu its clear hana mpenzi wa kueleweka kumpitisha kwenywe hicho kipindi
Jamaa ni professional photographer wa mwanzo mwanzo bongo.....Hawa ni akina nani tena?