Tetesi: Baada ya kutalikiana Mr and Mrs Raqey Muhammed, mume ataka kumrudia mkewe baada ya kugundulika ana cancer

Tetesi: Baada ya kutalikiana Mr and Mrs Raqey Muhammed, mume ataka kumrudia mkewe baada ya kugundulika ana cancer

Watajuana wenyewe akimkataa ni yeye, wakikubaliana ni wao.
Mapenzi ya watu yataku-suprise kwa mengi. Kikubwa kaa kitako shuhudia
Kushuhudia sio dhambi
 
Jamaa ni professional photographer wa mwanzo mwanzo bongo.....
Jamaa ni kati ya watu walioipa heshima taaluma ya photography na sahizi anapiga kazi ikulu ya zanzibar kitengo cha mawasiliano

Mkewe ni mpishi mkubwa wa mashughuli mjini Daslam na pia ana restaurants mbili GSM mall na Dar free market

Enzi hizo za kusoma magazines na blogs walikua wanawika, dada alikua sista duu wa enzi hizo
Sasa si apige za kansa yake tuione kwanza ama!
 
Una uhakika gani kama cancer ndo imemsababisha aombe kurudiana na mtaliki wake, labda imetokea coincidence tu.

Wacha wakae chini wayamalize kiutu uzima kama walivyoachana kiutu uzima.

Wao ndio wenye kujuana vyema, we chukua jembe ukalime. Usiwe mchambuzi wa mapenzi ya watu.
 
Nina uhakika sababu tayari alikua ana mahusiano ya wazi na mtu mwingine

Nina uhakia ugonjwa ndio umemrudisha sababu cancer sio kitu cha kuuguzwa na mtu yeyote, mkewe wa zamani ana chance kubwa ya kumuuguza vyema kuliko mwanamke wa juzi. Na pia atapata faraja ya wanae 24/7 sababu watakua wanaishi wote

Nikichambua wewe inakuuma nini..... hawa ni public figures, kama ambavyo tunajifunza kupitia maisha yao ya kawaida basi hata ya ndoa tunajifunza vilevile.

Sarah akimpokea atakua mpumbavu wa mwisho, jamaa ana pesa ana ndugu na watoto wanaompenda basi wanatosha.
 
Back
Top Bottom