Tetesi: Baada ya kutalikiana Mr and Mrs Raqey Muhammed, mume ataka kumrudia mkewe baada ya kugundulika ana cancer

Wanaume mlivyo wabinafsi mnamtetea mwanaume mwenzenu ila mkiambiwa muwe mnatulia na wake zenu hamtaki! Mnadhani wanawake hawana mioyo ya kuumia?

Mjifunze kwamba mkiumiza wake zenu muwe mnajiandaa na matokeo pia kwamba wataondoka tu! Na mnatakaga wawasamehe kama ni lazima vile.
 
Wanandoa ugomvi wao ni siri wewe acha kujifanya unachukua upande

Vipi wakirudiana utaficha wapi sura yako?
 
 
Kwani Da Mange kasemaje?
 
Unawaza pafupi sana,huyo mwanaume anataka kurudiana na mkewe ili mali zote za urithi zibaki kwa huyo mke wake na watoto,jiongeze!
Hana haja ya kurudiana ili iwe hivyo.....
Aandike wosia, kwa vile hajaoa tena bado watapata tu.
Halafu hatujui cancer yake ipo stage gani, yawezekana ni stage za mwanzo so akipata tiba nzuri atapona tu though kwa kuteseka sanaaaaa na hapo kwenye kuteseka wakati wa matibabu ndo kunahitaji uwe na mtu wa maana sana wa kukupa support nje ya doctors and nurses
 
Huwezi kunirudia wakati unaumwa wakati uliondoka kwangu mzima.

Ana ndugu na jamaa wamuuguze hao sababu mpaka anakuja kwangu its clear hana mpenzi wa kueleweka kumpitisha kwenywe hicho kipindi
Na mchina wake hapo ukute ashakula kona. Kwa kweli akauguzwe na nduguzwe.
 
Hawa ni akina nani tena?
Jamaa ni professional photographer wa mwanzo mwanzo bongo.....
Jamaa ni kati ya watu walioipa heshima taaluma ya photography na sahizi anapiga kazi ikulu ya zanzibar kitengo cha mawasiliano

Mkewe ni mpishi mkubwa wa mashughuli mjini Daslam na pia ana restaurants mbili GSM mall na Dar free market

Enzi hizo za kusoma magazines na blogs walikua wanawika, dada alikua sista duu wa enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…