Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Ajitokeze muhangaza wa kuniconnect na dada ama ndugu yake. N.B niko serious
Mkuu hawa n wife material hasa kuna jamaa huku kwetu msabato kaoa kama mke wa pili maana wa kwanza waliachana,aise to be honest wazee na ndoa zao wanamwonea jamaa wivu,na cha ajabu mwamba kanitonya alikuta 0km sikuamini hadi nilipokutana na huu uzi nikaunganisha doti.
 
Sasa kuja kutujazia humu kitu gani, wewe ulitakiwa kutwambia tayari upo naye, sie wahuku wavimba macho tuache kabisa
 
Mkuu hawa n wife material hasa kuna jamaa huku kwetu msabato kaoa kama mke wa pili maana wa kwanza waliachana,aise to be honest wazee na ndoa zao wanamwonea jamaa wivu,na cha ajabu mwamba kanitonya alikuta 0km sikuamini hadi nilipokutana na huu uzi nikaunganisha doti.
Ndio natafuta hiyo connection. Nataka niukimbie ukapera
 
Back
Top Bottom