Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ameomba msanaha jmnπ€£ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
View attachment 3452590
Sasa huko alikohamia ndiyo watamfunga kweli asipoufunga mdomo wake,hao jamaa ukiwa upande wao watakulinda ukikengeuka utakijua kilichomtoa kanga manyoya awe makini.ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Naye sasa ahangamizwe mshenzi mkubwa. Fatma hivi pesa zako alikulipa?kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
ππππNaye sasa ahangamizwe mshenzi mkubwa. Fatma hivi pesa zako alikulipa?
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
View attachment 3452590Tukiwaambia huko ccm kumebana hawasikii mpaka damu zikianza kuwatoka masikioni ndio wanakuja kujua.
Ametoa mfuko huu, akaweka mfuko wa piliALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
View attachment 3452590
Miaka Saba ya John Magufuli yupi? Umepotosha sana kwa Hira tuALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.