GE2025 Baada ya kutemwa ubunge CCM, Cyprian Musiba akimbilia ACT Wazalendo

GE2025 Baada ya kutemwa ubunge CCM, Cyprian Musiba akimbilia ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ametoka tawi la mkoani, ameenda la wilayani. Boss mmoja
 
hatari sana , siasa ngumu sana
 
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.

Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.

View attachment 3452590

ACT Wazalendo ni mradi wa CCM (Polepole, 2025).
 
Huyu Mzee nina uhakika ana tatizo la akili sio bure hana tofauti na mpuuzi mmoja somebody Mwashambwa hapa jukwaani
 
Back
Top Bottom