GE2025 Baada ya kutemwa ubunge CCM, Cyprian Musiba akimbilia ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.

Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.

View attachment 3452590
Sasa hivi atanywewa damu na wanywa damu maccm
 
mwanaharakati akiwa katika harakati.
 
What an interesting time to be alive😂😂
 
Mwacheni aende hilo ni tawi lao. Yaani kama vile Yanga na Singida Black Stars.
 
Mwenye zile video zake anzi za jiwe yupo offcn anakata mauno aziweke hapa ! Jamaa alikuwa na jeuri sana, mjivuni , kamsumbua Sana membe (r.i.p),,,,

Kwa kipindi hicho hakuna kitu ungeweza mfanya , yeye na wapuuzi wengine kama kina hapi, sabaya, makonda waliishi kama peponi!
 
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.

Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.

View attachment 3452590
Kweli siasa za Tanzania ni mazingaombwa ya ajabu!
 
Msiba alisha omba msamaha, nimtakie safari njema , ila ajue mwaka huu hakuna uchaguzi ,asema Bwana
 
Back
Top Bottom