mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Sasa hivi atanywewa damu na wanywa damu maccmALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
View attachment 3452590
CCK ndogoKakimbilia kwenye tawi dogo
mwanaharakati akiwa katika harakati.ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
View attachment 3452590
Kwa hiyo anacheza na fursa au sio ππKakimbilia kwenye tawi dogo
What an interesting time to be aliveππALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
View attachment 3452590
Exactly π― πKwa hiyo anacheza na fursa au sio ππ
Kweli siasa za Tanzania ni mazingaombwa ya ajabu!ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.
View attachment 3452590
Kaenda team b πKakimbilia kwenye tawi dogo
Exactly π―Kaenda team b π
Pesa gani hizo toka mahakama ya kichochoroni isiyo na jurisdiction Tanganyika!Naye sasa ahangamizwe mshenzi mkubwa. Fatma hivi pesa zako alikulipa?