fitna JF-Expert Member Joined Jan 29, 2014 Posts 420 Reaction score 217 Mar 6, 2016 #101 kotelyimola said: Wewe jamaa itabidi uchunguzwe kwani inaonekana ni Kambi ya fitina Click to expand... Mimi Sina Kambi wala wafuasi
kotelyimola said: Wewe jamaa itabidi uchunguzwe kwani inaonekana ni Kambi ya fitina Click to expand... Mimi Sina Kambi wala wafuasi
C celinawetu JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 1,330 Reaction score 1,059 Mar 6, 2016 #102 THE BIG SHOW said: Kama misikiti inakuumiza sana basi anza kubomoa makanisa pia yaliyojaa ofs za umma.. Si Mlikua kila msimu wa krismas na noel mnaweka masanamu mle kwenye ofis za umma? Click to expand... We unaumwa dengue ofisi gani ina kanisa
THE BIG SHOW said: Kama misikiti inakuumiza sana basi anza kubomoa makanisa pia yaliyojaa ofs za umma.. Si Mlikua kila msimu wa krismas na noel mnaweka masanamu mle kwenye ofis za umma? Click to expand... We unaumwa dengue ofisi gani ina kanisa
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Mar 6, 2016 #103 Hakuna raia wa Uganda aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, let us get this clear first and foremost.
Hakuna raia wa Uganda aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, let us get this clear first and foremost.