Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri sana na itapendeza akijibu kwa uaminifu kabisa.Mtoa mada wewe unataka Nani apewe hiyo NSSF??
Chuki Binafsi, basi uteuliwe wewe sasa au waje malaika toka mbinguni !![]()
SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Na Akasisitiza na kutoa amri kuwa serikali ya awamu ya tano ya rais wetu Mpendwa John Pombe Magufuli, PHD inapenda kuona kazi inafanyika kwa vitendo na matokeo yananufaisha wananchi na si vinginevyo.....
Hii vinginevyo aliyosema waziri Mhagama alikuwa akimaanisha kuwawezesha Raia/ Wananchi wa UGANDA (Jana alimteua Raia wa Uganda kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF).
Sasa taarifa za uhakika ni kuwa Jenisha sasa anawewesekna na kati ya waTanzania milioni 50 wenye uwezo kashindwa kupata mtu ambaye ni safi na asiye na kashfa ya ufisadi zaidi ya Lawrence Mafuru.
Tukumbuke kuwa huyu huyu Mafuru ametajwa as a "person of interest"na shirika la ujasusi la Marekani FBI kwenye kesi ya uhamishaji wa miamala ya pesa kwenda nje ya nchi (MONEY LAUNDERING) ambayo ilifanywa na benki ya wa Lebanon iliopo hapa nchini ya FBME.
Pia tusisahau kuwa Lawrence Mafuru alifukuzwa kazi NBC na kule BRN alikopelekwa hakufanya lolote lile la maana zaidi ya kashfa za ubadhirifu wa pesa na kumpa mkewe tenda (kama alivyokuwa anafanya yule DG wa TANESCO)
Mafuru alifikia mahala anawalipa mishahara mikubwa na bonus nzuri watu wake ambao aliwapa upendeleo maalum(nepotism) , na kulikuwa na wadada walikuwa ni untouchables ambao inasemekana ni chakula yake (hii nitabia ambayo Mafuru has in common na Magori wa NSSF).
Sasa leo Waziri Jenista Mhagama anamwona Mafuru pamoja na kashfa kem kem za ubadhirifu na ufisadi anamwaona ndio anafaa kuwa bosi mpya NSSF hivi kweli nchi hii hatuna mtu competent wa kuchukua hii post zaidi ya haya magalasa?
Hawa watu wa Dr. Dau wanahaha sana.... Inaonekana jamaa kaumia sana kwa Dau kuondoka..... No more misikiti tena ndani ya NSSF
Kijana mbona issue ya Dau imeisha, keshaachia nafasi. mbona ni wewe tuu ndiye unayefuatilia na kuandama habari za Dau?Hawa watu wa Dr. Dau wanahaha sana.... Inaonekana jamaa kaumia sana kwa Dau kuondoka..... No more misikiti tena ndani ya NSSF
mkuu umewaza nini????'Kati ya watanzania Milioni 50' unamaanisha watoto wachanga, under 18, uneducated, wastaafu wotw hao wana sifa kwa hiyo nafasi ya DG wa NSSF?
Ukiacha nafasi hiyo moja pekee unayodai kila mtanzania ana sifa ya kuteuliwa kuitwaa, umewahi jaribu kuchukua ajira zote za serikali kwa wingi wake jalafu ukatafuta watanzania wenye sifa ya ajira hizo ni wangapi?
Abas acha kudanganya watu jenista siyo MAMLAKA ya uteuzi wa hyo post,yeye anaweza tu kumteua wa kukaimu,hata hivyo una maslahi na dau ambaye amefikisha Nssf kuwa matapeli kwa kuwa hawawezi tena hata kukopesha Saccos kama walivyojitutumua,mfano huko moshi wanachama wa Saccos wametapeliwa na ukweli ni kuwa cash flow ya shirika ni mbaya sana,kusema shirika ni kubwa hata NIC walokuwa giant lakini ukishindwa kulipa madeni wafwa ndiko Nssf ulikuwa inaelekea ndani ya kiongozi ULIOTUKUKA WA DOKTA DAU!!!!!![]()
SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Na Akasisitiza na kutoa amri kuwa serikali ya awamu ya tano ya rais wetu Mpendwa John Pombe Magufuli, PHD inapenda kuona kazi inafanyika kwa vitendo na matokeo yananufaisha wananchi na si vinginevyo.....
Hii vinginevyo aliyosema waziri Mhagama alikuwa akimaanisha kuwawezesha Raia/ Wananchi wa UGANDA (Jana alimteua Raia wa Uganda kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF).
Sasa taarifa za uhakika ni kuwa Jenisha sasa anawewesekna na kati ya waTanzania milioni 50 wenye uwezo kashindwa kupata mtu ambaye ni safi na asiye na kashfa ya ufisadi zaidi ya Lawrence Mafuru.
Tukumbuke kuwa huyu huyu Mafuru ametajwa as a "person of interest"na shirika la ujasusi la Marekani FBI kwenye kesi ya uhamishaji wa miamala ya pesa kwenda nje ya nchi (MONEY LAUNDERING) ambayo ilifanywa na benki ya wa Lebanon iliopo hapa nchini ya FBME.
Pia tusisahau kuwa Lawrence Mafuru alifukuzwa kazi NBC na kule BRN alikopelekwa hakufanya lolote lile la maana zaidi ya kashfa za ubadhirifu wa pesa na kumpa mkewe tenda (kama alivyokuwa anafanya yule DG wa TANESCO)
Mafuru alifikia mahala anawalipa mishahara mikubwa na bonus nzuri watu wake ambao aliwapa upendeleo maalum(nepotism) , na kulikuwa na wadada walikuwa ni untouchables ambao inasemekana ni chakula yake (hii nitabia ambayo Mafuru has in common na Magori wa NSSF).
Sasa leo Waziri Jenista Mhagama anamwona Mafuru pamoja na kashfa kem kem za ubadhirifu na ufisadi anamwaona ndio anafaa kuwa bosi mpya NSSF hivi kweli nchi hii hatuna mtu competent wa kuchukua hii post zaidi ya haya magalasa?
Hawa watu wa Dr. Dau wanahaha sana.... Inaonekana jamaa kaumia sana kwa Dau kuondoka..... No more misikiti tena ndani ya NSSF
Chuki zako dhidi ya Imaan za watu wengine si jambo lenye kupendeza,jifunze kujadili hojaNSSF iligeuzwa kama branch ya Bakwata, sasa wanufaika wanahaha akiingia mtu ambaye anaongozwa na professionalism basi misuli itaanguka pale, kuna waliopata ajila kwa CV ya sigida tu na kuhiji makka ndio wanatokwa na mapovu hapa, watu clean huwa hawana presha na mabadiliko ya kiutawala sehemu yoyote ile walipo.
hahaha mkuu kinachowakera wao ni huu uislam wetu.Kama misikiti inakuumiza sana basi anza kubomoa makanisa pia yaliyojaa ofs za umma..
Si Mlikua kila msimu wa krismas na noel mnaweka masanamu mle kwenye ofis za umma?
![]()
SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Na Akasisitiza na kutoa amri kuwa serikali ya awamu ya tano ya rais wetu Mpendwa John Pombe Magufuli, PHD inapenda kuona kazi inafanyika kwa vitendo na matokeo yananufaisha wananchi na si vinginevyo.....
Hii vinginevyo aliyosema waziri Mhagama alikuwa akimaanisha kuwawezesha Raia/ Wananchi wa UGANDA (Jana alimteua Raia wa Uganda kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF).
Sasa taarifa za uhakika ni kuwa Jenisha sasa anawewesekna na kati ya waTanzania milioni 50 wenye uwezo kashindwa kupata mtu ambaye ni safi na asiye na kashfa ya ufisadi zaidi ya Lawrence Mafuru.
Tukumbuke kuwa huyu huyu Mafuru ametajwa as a "person of interest"na shirika la ujasusi la Marekani FBI kwenye kesi ya uhamishaji wa miamala ya pesa kwenda nje ya nchi (MONEY LAUNDERING) ambayo ilifanywa na benki ya wa Lebanon iliopo hapa nchini ya FBME.
Pia tusisahau kuwa Lawrence Mafuru alifukuzwa kazi NBC na kule BRN alikopelekwa hakufanya lolote lile la maana zaidi ya kashfa za ubadhirifu wa pesa na kumpa mkewe tenda (kama alivyokuwa anafanya yule DG wa TANESCO)
Mafuru alifikia mahala anawalipa mishahara mikubwa na bonus nzuri watu wake ambao aliwapa upendeleo maalum(nepotism) , na kulikuwa na wadada walikuwa ni untouchables ambao inasemekana ni chakula yake (hii nitabia ambayo Mafuru has in common na Magori wa NSSF).
Sasa leo Waziri Jenista Mhagama anamwona Mafuru pamoja na kashfa kem kem za ubadhirifu na ufisadi anamwaona ndio anafaa kuwa bosi mpya NSSF hivi kweli nchi hii hatuna mtu competent wa kuchukua hii post zaidi ya haya magalasa?
Hii katiba mpya ya Warioba itaanza lini ili nafasi kama hizi watu waombe na kufanyiwa usaili. Ni aibu kubwa sana karne ya 21 watu bado tunatumia njia za kishirikina na kubahatisha kuchagua viongozi wa mashirika makubwa hapa nchini