Bro, kwa fraudster kila kinachofanana na hela kwao hakiko salama. Watu hawa wanafahamu raha ya kuwa na pesa, ni watu mabao wanpenda maisha mazuri na starehe. wanapenda kumuliki vilivyo vizuri, kutembelea magari mazuri, kuwa na mademu wazuri, kuwa na nyumba nzuri sehemu nzuri na mengine yanayofanana na hayo.
Hawana tofauti na wale ambao JK Nyerere aliwaita wala nyama za watu, kuacha kwao ni ni nadra sana.
Ngoja nikukumbushe mifano michache:-
1. Kuna mmoja aliwahi kuwa CEO wa TOL(Tz Oxygen Ltd) alitutengenezea fraudulent Financial stmt, ilionyesha kuwa TOL ainapata faida sana kwenye biashara yake gass jambo ambalo halikuwa kweli. Watu wakaingia mkenge wakanunua hisa za TOL, angalia mpaka leo hii bei za hisa za TOL zikoje. Ilikuwa 300/= ikashuka mpaka 200/= na hakuna aliyetaka kuzinunua.
2. The sama person akapewa Uwaziri wa mabo ya Ndani, akavurunda akatoswa. Ila jamaa wa SAUT wanamtambu, ilikuwa kila W end yuko pale Villa anakula raha na mademu wa SAUT. Na ilikuwa akimpenda demu wako umekwisha. Atamchukua hata kama kwa nguvu.
Na wote ambao aliwapenda na kupitia kwenye ofisi yake ya kutenda haki, walipoondoka wakawa mabingwa kweli wa Fraud.
Though, to others fraud does not pay, to the it pays. Na ndio maana kila siku wapo kwenye siasa wakifukizia ubunge ili waje wapate uwaziri na kisha wawafundishe adabu waTZ.
Kama watu wememtaja taja Mafuru kuhusika kwenye Fraud Schemes, basi tuwe nae makini vinginevyo ataja tuliza.