Tetesi: Baada ya kuteua Raia wa UGANDA,Waziri Jenista Mhagama anamuandaa Lawrence Mafuru kuwa bosi mpya NSSF

Status
Not open for further replies.
B4uqTWmCAAAAfd7.jpg:large

SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Na Akasisitiza na kutoa amri kuwa serikali ya awamu ya tano ya rais wetu Mpendwa John Pombe Magufuli, PHD inapenda kuona kazi inafanyika kwa vitendo na matokeo yananufaisha wananchi na si vinginevyo.....

Hii vinginevyo aliyosema waziri Mhagama alikuwa akimaanisha kuwawezesha Raia/ Wananchi wa UGANDA (Jana alimteua Raia wa Uganda kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF).

Sasa taarifa za uhakika ni kuwa Jenisha sasa anawewesekna na kati ya waTanzania milioni 50 wenye uwezo kashindwa kupata mtu ambaye ni safi na asiye na kashfa ya ufisadi zaidi ya Lawrence Mafuru.

Tukumbuke kuwa huyu huyu Mafuru ametajwa as a "person of interest"na shirika la ujasusi la Marekani FBI kwenye kesi ya uhamishaji wa miamala ya pesa kwenda nje ya nchi (MONEY LAUNDERING) ambayo ilifanywa na benki ya wa Lebanon iliopo hapa nchini ya FBME.

Pia tusisahau kuwa Lawrence Mafuru alifukuzwa kazi NBC na kule BRN alikopelekwa hakufanya lolote lile la maana zaidi ya kashfa za ubadhirifu wa pesa na kumpa mkewe tenda (kama alivyokuwa anafanya yule DG wa TANESCO)

Mafuru alifikia mahala anawalipa mishahara mikubwa na bonus nzuri watu wake ambao aliwapa upendeleo maalum(nepotism) , na kulikuwa na wadada walikuwa ni untouchables ambao inasemekana ni chakula yake (hii nitabia ambayo Mafuru has in common na Magori wa NSSF).

Sasa leo Waziri Jenista Mhagama anamwona Mafuru pamoja na kashfa kem kem za ubadhirifu na ufisadi anamwaona ndio anafaa kuwa bosi mpya NSSF hivi kweli nchi hii hatuna mtu competent wa kuchukua hii post zaidi ya haya magalasa?
Hapo kwenye bluu panaondoa credibility yote ya habari yako. Mafuru aliteuliwa na BOT kuwa statutory Manager wa FBME, baada ya benki hiyo kuhusishwa na utakatishaji wa fedha haramu. Sasa habari yako umeileta kana kwamba una kisa na huyo Mafuru au una nongwa na yeyote atakaeteuliwa kushika nafasi ya uDG NSSF. Leteni habari credible this is JF
 
Mi

Mizizi aliyoiweka dau kung'oka itachukua miaka na miaka, haya mmemchagua mgalatia mwenzenu mbona hata nusu saa haijapita mmemfukuza?

Mizizi ya Dau ipi pale Nssf kama umeshindwa kupata kazi kipindi yupo ndio hupati tena sahau
 
Wanazi wa Dau wanaangaika utadhani Kuku anataka kutaga.
 
Mizizi ya Dau ipi pale Nssf kama umeshindwa kupata kazi kipindi yupo ndio hupati tena sahau
Hivi unahisi nafanana na wanaotafuta kazi? Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
 
Unaweza kushare hiyo ripoti ambayo Mafuru ametajwa kwenye Money Laundering?

Ninachojua Mafuru ni caretaker MD wa FBME baada ya FBME kuwa alleged kufanya money laundering.

Otherwise Mafuru Simkubali lakini nadhani hiyo tuhuma hapo juu haupo sawa.

by defacto msajili wa hazina ndio kazi zake hizo ku take over kampuni za aina hio na ofisi yake hupekeka caretaker ..kwa kushirikiana na BANK KUU
 
Unaweza kushare hiyo ripoti ambayo Mafuru ametajwa kwenye Money Laundering?

Ninachojua Mafuru ni caretaker MD wa FBME baada ya FBME kuwa alleged kufanya money laundering.

Otherwise Mafuru Simkubali lakini nadhani hiyo tuhuma hapo juu haupo sawa.

Yeah...You are right mkuu,....Mimi mwenyewe nashangaa hii taarifa ameitoa wapi

Najua Mafuru amepewa aisimamie FBME katika kipindi hiki cha mpito

Ingawa kuna issues naona haziko sawa kwa mafuru hasa historia yake ya NBC ...Lakini huu uzi uko ki majungu zaidi
 
Hahaaa, hivi akiteuliwa tena mvaa kanzu mwingine kuwa DG wa NSSF, patakalika kweli hapa JF?.
 
Hivi unahisi nafanana na wanaotafuta kazi? Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?

Hahahahaha....endeleeni kujiliwaza hivyo hivyo tafuteni kazi sehemu zingine kwanini mnaogopa kushindana mpaka mnategemea kushikwa mikono.unataka kuniambia hiyo mizizi yake hakuna wa kwenda kukaa Nssf mpaka yeye tu? Zama zake zimeisha kwanini mnashindwa kukubali
 
Mkuu Mbona unahangaika sana? Basi wakitangaza hii nafasi na wewe OMBA! I told you the era of DR. Dau is over. Live with it. Hakuna namna. Kuwa na chuki kwa Kitu ambacho huwezi Hata kuomba in kupoteza mda.
Huyu hata sidhani kama leo alikuwa na kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kurushia watu haja, na pengine hata kula hajala ni thread moja baada ya nyingine, na kwa kazi yote hii siamini kama kweli hakuna ujira wowote anao vuna,ange jaribu tu kufanya miadi na Waziri Mhagama akaongea naye kiungwana amrejeshe Balozi wake mpendwa kwenye nafasi maana lolote laweza kutokea, vinginevyo naona tuta mpoteza kwa kihoro huyu kiumbe.
 
Yeah...You are right mkuu,....Mimi mwenyewe nashangaa hii taarifa ameitoa wapi

Najua Mafuru amepewa aisimamie FBME katika kipindi hiki cha mpito

Ingawa kuna issues naona haziko sawa kwa mafuru hasa historia yake ya NBC ...Lakini huu uzi uko ki majungu zaidi

Kweli mkuu, jamaa kakopa information huku na huku, za kweli na ambazo siyo za kweli kachanganya hapa.

Majungu majungu.
 
Haya mambo yangekuwa rahisi sana ingekuwa hizi nafasi zingeshindaniwa kwa kufanya usaili (interview) lakini shida ya uteuze ni kulipwa fadhili. Katiba mbovu sana kila kitu kuteua tu wakati kuna wenye sifa hawafahamiki ila wamejaa mitaani.Magufuli change constitution to get right candidate
 
B4uqTWmCAAAAfd7.jpg:large

SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Na Akasisitiza na kutoa amri kuwa serikali ya awamu ya tano ya rais wetu Mpendwa John Pombe Magufuli, PHD inapenda kuona kazi inafanyika kwa vitendo na matokeo yananufaisha wananchi na si vinginevyo.....

Hii vinginevyo aliyosema waziri Mhagama alikuwa akimaanisha kuwawezesha Raia/ Wananchi wa UGANDA (Jana alimteua Raia wa Uganda kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF).

Sasa taarifa za uhakika ni kuwa Jenisha sasa anawewesekna na kati ya waTanzania milioni 50 wenye uwezo kashindwa kupata mtu ambaye ni safi na asiye na kashfa ya ufisadi zaidi ya Lawrence Mafuru.

Tukumbuke kuwa huyu huyu Mafuru ametajwa as a "person of interest"na shirika la ujasusi la Marekani FBI kwenye kesi ya uhamishaji wa miamala ya pesa kwenda nje ya nchi (MONEY LAUNDERING) ambayo ilifanywa na benki ya wa Lebanon iliopo hapa nchini ya FBME.

Pia tusisahau kuwa Lawrence Mafuru alifukuzwa kazi NBC na kule BRN alikopelekwa hakufanya lolote lile la maana zaidi ya kashfa za ubadhirifu wa pesa na kumpa mkewe tenda (kama alivyokuwa anafanya yule DG wa TANESCO)

Mafuru alifikia mahala anawalipa mishahara mikubwa na bonus nzuri watu wake ambao aliwapa upendeleo maalum(nepotism) , na kulikuwa na wadada walikuwa ni untouchables ambao inasemekana ni chakula yake (hii nitabia ambayo Mafuru has in common na Magori wa NSSF).

Sasa leo Waziri Jenista Mhagama anamwona Mafuru pamoja na kashfa kem kem za ubadhirifu na ufisadi anamwaona ndio anafaa kuwa bosi mpya NSSF hivi kweli nchi hii hatuna mtu competent wa kuchukua hii post zaidi ya haya magalasa?
ANA MUANDAAJE, KENDA KUMFANYIA SHOPPING??
 
Huna lolote we chakula ya dau,kwa taarifa yako dau alimrubuni jenista ili Nssf awekwe mtu anaemtaka dau ili afiche siri zake daraja LA kigamboni,20 zilizoenda nida zikaishia njiani,mashamba alinunua toka kwa ndg zake yasiyokuwa na maana kwa 15b.soon ripoti utawekwa humu
 
Unaweza kushare hiyo ripoti ambayo Mafuru ametajwa kwenye Money Laundering?

Ninachojua Mafuru ni caretaker MD wa FBME baada ya FBME kuwa alleged kufanya money laundering.

Otherwise Mafuru Simkubali lakini nadhani hiyo tuhuma hapo juu haupo sawa.

Fraud bwana, mchakato wake mpaka raha. Ni Mchezo ambao huchezwa na watu wanaoheshimika sana katika jamii.

Matajiri na wenye vyeo vikubwa ndio hasa wenye kucheza mchezo huo. Na ni mchezo ambao kama huna macho mazuri kamwe huwezi kuona jinsi ulivyochezwa. Na kwa sababu wana power and authority sio rahisi kwa wao kuwa mistreated na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kama ametajwa kuhusika husika, inawezekan kabisa ukifuatilia kwa ndani ni kweli ametenda. Ili kujua ukweli sahihi vyombo vya dola makini na visivyo corrupt kam SFO ndio pekee wanweza kubaini how was it perpetuated na Mtu kama Mafuli.
Vinginevyo sio rahisi kutokana na Power na Authority aliyonayo.
 
Sisi yetu macho tu... ili mradi hela zetu ziwe salama
 
We jamaa povu linavyo kutoka unaonekana kilaza kweli, ukipewa kazi huwezi...wakitangaza omba basi wewe uliye mtanzania timilifu.

by the way ndo maana bado uko TZ hauna ishu zaidi ya majungu yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom