Tetesi: Baada ya kuteua Raia wa UGANDA,Waziri Jenista Mhagama anamuandaa Lawrence Mafuru kuwa bosi mpya NSSF

Status
Not open for further replies.
RASHEED BADE FOR NSSF...

tressurer register ni bosi wa makampuni yote ambayo serikali ina hisa .....hadi yale ya jamaa zetu ambayo yana foster names anayajua yeye ..
Mkuu are u out of ur mind? Risheed Bade is sacked from TRA na yuko chini ya uchunguzi ni taratibu za nchi gani mtu kama huyo anaweza kupewa new appointment bila kuwa cleared na serikali?
 
Hahahaha..Mkuu hapo utataka wakufungulie thread yako bure sasa mzee wa whisky akipelekwa pale na wao wanataka mwenye msimamo mkali wataelewana kweli au kutafuta majanga wenyewe wanaona lile shirika la bakwata wanapiga kelele sababu wanataka kubadilishiwa mfumo

Pesa za michango ya wafanyakazi zinaaangamia watu wanaleta ushabiki wa kijinga ....maaana kila mtuu oooh ..mwambieni magufuli amrudishe ..amrudishe ......miaka 20 ...haata kwa wenye makampuni yao wapo ambao Mungu hajawakarimu kuyamiliki kwa miaka 20

Said Salim Bakhresa na mafanikio yake ameendesha ile kampuni kwa miaka 35 tu ......na ni kubwa maradufu ya hiyo NSSF .......sasa mtu kupewa miaka 20 bado mnataka aendeleee??
kwenye misingi ya kisomi mtu serious maximum kukaa kweye kazi moja ni miaka 10..ukipewa kazi kama kwa miaka 5 hujujabadili ...basi tafuta kazi mpya
 
Kama ndivyo basi twaweza sema kazi nzuri imempata mtu mbaya ama sivyo anatakiwa ajisafishe. Vinginevyo nitaelewa kwamba 'HAPA KAZI TU' ni msemo tu kama ilivyo misemo mingine ya kwenye kanga, t-shirt na vitambaa.
 
Mkuu are u out of ur mind? Risheed Bade is sacked from TRA na yuko chini ya uchunguzi ni taratibu za nchi gani mtu kama huyo anaweza kupewa new appointment bila kuwa cleared na serikali?

Kwa taarifa tu Rasheed Bade hana kosa ....na siongei kwa kuwa ni mnywaji mwenzangu ...bali naajuwa ni kijana ana akili nyingi sana .......basi tu circumstacial ..ila watch this space ...lazima MAGUFULI atampa kazi ....maana pale kulikuwa na connection kubwa kati ya nyumba kubwa ,ofisi ya maama na mtandao ambao ulikuwapo ....TRA tangu zamani ....
 
Wewe jamaa itabidi uchunguzwe kwani inaonekana ni Kambi ya fitina
Huyu mtoa post ni mtalaamu wa kupika jungu
Mkuu Mbona unahangaika sana? Basi wakitangaza hii nafasi na wewe OMBA! I told you the era of DR. Dau is over. Live with it. Hakuna namna. Kuwa na chuki kwa Kitu ambacho huwezi Hata kuomba in kupoteza mda.
 
Pesa za michango ya wafanyakazi zinaaangamia watu wanaleta ushabiki wa kijinga ....maaana kila mtuu oooh ..mwambieni magufuli amrudishe ..amrudishe ......miaka 20 ...haata kwa wenye makampuni yao wapo ambao Mungu hajawakarimu kuyamiliki kwa miaka 20

Said Salim Bakhresa na mafanikio yake ameendesha ile kampuni kwa miaka 35 tu ......na ni kubwa maradufu ya hiyo NSSF .......sasa mtu kupewa miaka 20 bado mnataka aendeleee??
kwenye misingi ya kisomi mtu serious maximum kukaa kweye kazi moja ni miaka 10..ukipewa kazi kama kwa miaka 5 hujujabadili ...basi tafuta kazi mpya

Tatizo mkuu jamaa walishazoea kwenda pale na kupewa bahasha za kaki..Jamaa huwezo umekwisha hakuna changamoto mpya ambazo ataleta cha zaidi ya kumpasia kijiti mwenzake lakini wapambe wake hawataki kusikia wakati zile fedha za wafanyakazi wa kila mwezi wanakatwa wanachezea upatu
 
B4uqTWmCAAAAfd7.jpg:large

SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Na Akasisitiza na kutoa amri kuwa serikali ya awamu ya tano ya rais wetu Mpendwa John Pombe Magufuli, PHD inapenda kuona kazi inafanyika kwa vitendo na matokeo yananufaisha wananchi na si vinginevyo.....

Hii vinginevyo aliyosema waziri Mhagama alikuwa akimaanisha kuwawezesha Raia/ Wananchi wa UGANDA (Jana alimteua Raia wa Uganda kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF).

Sasa taarifa za uhakika ni kuwa Jenisha sasa anawewesekna na kati ya waTanzania milioni 50 wenye uwezo kashindwa kupata mtu ambaye ni safi na asiye na kashfa ya ufisadi zaidi ya Lawrence Mafuru.

Tukumbuke kuwa huyu huyu Mafuru ametajwa as a "person of interest"na shirika la ujasusi la Marekani FBI kwenye kesi ya uhamishaji wa miamala ya pesa kwenda nje ya nchi (MONEY LAUNDERING) ambayo ilifanywa na benki ya wa Lebanon iliopo hapa nchini ya FBME.

Pia tusisahau kuwa Lawrence Mafuru alifukuzwa kazi NBC na kule BRN alikopelekwa hakufanya lolote lile la maana zaidi ya kashfa za ubadhirifu wa pesa na kumpa mkewe tenda (kama alivyokuwa anafanya yule DG wa TANESCO)

Mafuru alifikia mahala anawalipa mishahara mikubwa na bonus nzuri watu wake ambao aliwapa upendeleo maalum(nepotism) , na kulikuwa na wadada walikuwa ni untouchables ambao inasemekana ni chakula yake (hii nitabia ambayo Mafuru has in common na Magori wa NSSF).

Sasa leo Waziri Jenista Mhagama anamwona Mafuru pamoja na kashfa kem kem za ubadhirifu na ufisadi anamwaona ndio anafaa kuwa bosi mpya NSSF hivi kweli nchi hii hatuna mtu competent wa kuchukua hii post zaidi ya haya magalasa?
NSSF ni mnyama gani?mimi niko huku kwa Kenya
 
Mkuu Mbona unahangaika sana? Basi wakitangaza hii nafasi na wewe OMBA! I told you the era of DR. Dau is over. Live with it. Hakuna namna. Kuwa na chuki kwa Kitu ambacho huwezi Hata kuomba in kupoteza mda.
vipi kuhusu usafi wa mafuru ?
 
sijawahi kuona mtu anapewa kampuni ya umma miaka 20...anapandishwa cheo na bado analalama ......tunasubiri akatae huo uteuzi!!!! alaaa kwakuwa yeye ni trustee WAMA ndio kelele ???
naweza kuelewa akiukataa uteuzi Migiro lakini huyo akikataa kajipalia .......na yale makambi yake yanajulikana
 
Tatizo mkuu jamaa walishazoea kwenda pale na kupewa bahasha za kaki..Jamaa huwezo umekwisha hakuna changamoto mpya ambazo ataleta cha zaidi ya kumpasia kijiti mwenzake lakini wapambe wake hawataki kusikia wakati zile fedha za wafanyakazi wa kila mwezi wanakatwa wanachezea upatu
Kichekesho eti bima ya afya ya NSSF unachaguwa hospital moja tu ya kutibiwa na huduma ni za kizamani ati mpaka walione faili lako kule hospital, huyu Dau ni jipu lililocheleweshwa kutumbuliwa mpaka limekuwa busha.

Hivi kuna maana gani ya bima ya afya ya hospital moja? tena na usumbufu wa kutafuta file juu,upuuzi wa NSSF chini ya huyu Mujahidina Ramadhani Dau ndio umenifanya nijiunge na mifuko mingine ya hifadhi ya jamii ambayo kwa sasa naona faida za kuwa mwanachama pesa yangu yote wanayoitumbuwa NSSF nakwenda kuichukuwa najitowa uanachanama.
 
Mzee wa Egypt katika ubora wako... Hii kampeni ya Dau ni ya "TUKOSE WOTE."
 
Kwa taarifa tu Rasheed Bade hana kosa ....na siongei kwa kuwa ni mnywaji mwenzangu ...bali naajuwa ni kijana ana akili nyingi sana .......basi tu circumstacial ..ila watch this space ...lazima MAGUFULI atampa kazi ....maana pale kulikuwa na connection kubwa kati ya nyumba kubwa ,ofisi ya maama na mtandao ambao ulikuwapo ....TRA tangu zamani ....
Punguza mahaba, offer za bia ataendelea tu kuzungusha, tuviache vyombo vya dola vifanye kazi yake kama ni msafi atasafishwa, hata Mataka alishawekwa benchi na Mkapa serikali ikamsafisha na Kikwete akampa ATC kabla hajajamba tena wakati tayari anastaafu akumuuzi rodi lofa.
 
Kichekesho eti bima ya afya ya NSSF unachaguwa hospital moja tu ya kutibiwa na huduma ni za kizamani ati mpaka walione faili lako kule hospital, huyu Dau ni jipu lililocheleweshwa kutumbuliwa mpaka limekuwa busha.

Hivi kuna maana gani ya bima ya afya ya hospital moja? tena na usumbufu wa kutafuta file juu,upuuzi wa NSSF chini ya huyu Mujahidina Ramadhani Dau ndio umenifanya nijiunge na mifuko mingine ya hifadhi ya jamii ambayo kwa sasa naona faida za kuwa mwanachama pesa yangu yote wanayoitumbuwa NSSF nakwenda kuichukuwa najitowa uanachanama.
Mimi huko Nssf sipo kabisa maana michosho tu mkuu.Mujahidina unaweza kuta kama alishitukizwa kuchaguliwa ubalozi aliamini kwamba yeye ndio kila kitu kwenye Nssf.Ndio maana ametuma vijana wake humu
 
Punguza mahaba, offer za bia ataendelea tu kuzungusha, tuviache vyombo vya dola vifanye kazi yake kama ni msafi atasafishwa, hata Mataka alishawekwa benchi na Mkapa serikali ikamsafisha na Kikwete akampa ATC kabla hajajamba tena wakati tayari anastaafu akumuuzi rodi lofa.

Mkuu jamaa anamtetea Mshikaji wake Mzee wa Kiraji kweli hii nchi majanga
 
Mimi huko Nssf sipo kabisa maana michosho tu mkuu.Mujahidina unaweza kuta kama alishitukizwa kuchaguliwa ubalozi aliamini kwamba yeye ndio kila kitu kwenye Nssf.Ndio maana ametuma vijana wake humu
Ameshachelewa, hawa cockroach wake wanaobwabwaja humu hawana hoja za kimantiki za kueleweka kwa watu makini, watazusha Magori hivi wakati Magori na Ackson Tuli tunajuwa walikuwa bodi ya bandari na wametumbuliwa vilevile, kwahiyo hizi porojo nyingine wapeleke msikitini ndio kwenye watu wengi ambao unaweza kuwajaza ujinga bila kuhoji.
 
Kuna yule sijui ndio wanamuita mayor wa London mbeba box Haruna Mbeyu sijui yupo kwenye hali gani maana alikuwa anashinda Nssf kama sebuleni kwake na kupeleka vimemo vya kutafutia watu kazi kwa mujahidina mwenzake
 
Mkuu jamaa anamtetea Mshikaji wake Mzee wa Kiraji kweli hii nchi majanga
Usifanye mchezo unamtembelea mtu ofisini kwake nauli ya daladala anakutowa na laki, utamtetea mpaka kuzimu, na huo ndio mfumo wa nchi ulivyo ambapo ni katiba ya warioba tu ndio muharobaini wake, wewe jiulize mtu anateuwa kaimu mkurugenzi leoleo na leo leo anatenguliwa ujuwe kuna Ghost kubwa huko serikalini.
 
Hahahahahahahahahahaha..hatari sana mkuu watu wanaweweseka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom