asaTutaendelea kuwaumbua bila w
Kusubiria upuuzi wakati ukijua ni upuuzi, ni ujinga wa hali ya juu.Takukuru wamewaambia chadema wakae kimya wasubiri matokeo ya uchunguzi
Tusipenda kuutumia ujinga na uwendawazimu. Hivi TAKUKURU wana utaalam wa juu ya mahesabu ya fedha kuizidi ofisi ya TAKUKURU? CAG alikwishasema hakuna ubadhirifu wa fedha, hii taasisi ya TAKUKURU ambayo watumishi wake wanaongoza kwa kupokea rushwa, wanasema wanaenda kuichunguza CHADEMA.Shida ni kwamba hata mwizi huenda kuiba palipo na cha kuiba!
Kwa hiyo chadema wangekuwa wasafi usingeona takukuru wakiweka kambi kwa muda wote huo hapo chadema!
Kusubiria upuuzi wakati ukijua ni upuuzi, ni ujinga wa hali ya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusipenda kuutumia ujinga na uwendawazimu. Hivi TAKUKURU wana utaalam wa juu ya mahesabu ya fedha kuizidi ofisi ya TAKUKURU? CAG alikwishasema hakuna ubadhirifu wa fedha, hii taasisi ya TAKUKURU ambayo watumishi wake wanaongoza kwa kupokea rushwa, wanasema wanaenda kuichunguza CHADEMA.
Hivi CHADEMA kulikuwa na tuhuma za kupokea au kutoa rushwa? Au walisikia vibaya - walipoambiwa kuwa CCM inatoa rushwa kurubuni wabunge na madiwani wa CHADEMA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vizuri sana maswali yangu.porojo !
Mnalo wana ufipa, kifundo cha mguu wenu lazima azitapike hizo bil 8, hatujui ka atazitolea makalioni
Ni wazi TAKUKURU baada ya kushindwa kubaini makosa kwenye michango ya wabunge wa Chadema , kutokana na kudanganywa na Peter Lijuakali, Mbunge aliyeanza vituko Chadema kutokana na chuki ya kukataliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa Chadema Mkoani Morogoro, ikaanza njama zingine nje ya tuhuma za awali...
Usivamie uzi kama hujaelewaKama chadema wanajuwa hakuna matumizi yasiokuwa halali wanashindwa nini kutoa taarifa kwa TAKUKURU ili kuweka wazi na kujibu malalamiko ya kina lijualikari?
Toeni maelezo na taratibu za matumizi yake kikatiba kama yako sawa hao TAKUKURU watasepa wenyewe.
Na kama mkishindwa basi kuna hujuma mmefanya maana kama huna kosa kuna haja gani ya kurumbana na TAKUKURU?
Tutaendelea kuwaumbua bila woga
Hizi ni fursa mnazopewa CHADEMA.Ni wazi TAKUKURU baada ya kushindwa kubaini makosa kwenye michango ya wabunge wa Chadema , kutokana na kudanganywa na Peter Lijuakali, Mbunge aliyeanza vituko Chadema kutokana na chuki ya kukataliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa Chadema Mkoani Morogoro, ikaanza njama zingine nje ya tuhuma za awali...
CCM wametoa nyaraka?Kama mna uhakika na matumizi kwa nini mna uoga wa kutoa nyaraka? Toeni hizo nyaraka pia zingine wekeni kwenye mtandao tujue ukwli ili msibambikiwe na Takukuru
Nasema kwa sababu nimemsikia M,nyika hivyo naelewa nini kinaendelea. Yeye atowe nyaraka hizo, pesa zimetumika wapi? Na kulingana na katiba hizo pesa zinatoka kwa utaratibu gani, na kama utaratibu ulitumika kwa usahihi basi takukuru watafunaga faili.Usivamie uzi kama hujaelewa
CCM wametoa nyaraka?
Nikikumbuka ulivokuwa kada kindakindaki kitambo kile leo umefunguka machoNchi hii kuna unafiki sana.
Wanaoenda kukagua chadema ni binadamu, na pengine ni washabiki wa chadema,Tusipenda kuutumia ujinga na uwendawazimu. Hivi TAKUKURU wana utaalam wa juu ya mahesabu ya fedha kuizidi ofisi ya TAKUKURU? CAG alikwishasema hakuna ubadhirifu wa fedha, hii taasisi ya TAKUKURU ambayo watumishi wake wanaongoza kwa kupokea rushwa, wanasema wanaenda kuichunguza CHADEMA.
Hivi CHADEMA kulikuwa na tuhuma za kupokea au kutoa rushwa? Au walisikia vibaya - walipoambiwa kuwa CCM inatoa rushwa kurubuni wabunge na madiwani wa CHADEMA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Takukuruccm wanatumwa kwenda kuwabambikia kesi chadema mwenye ubaya ni yule anayewatuma