Baada ya kuthibitika kutumika kisiasa kuikandamiza CHADEMA ni vema Mkurugenzi wa TAKUKURU akajiuzulu

Baada ya kuthibitika kutumika kisiasa kuikandamiza CHADEMA ni vema Mkurugenzi wa TAKUKURU akajiuzulu

Sasa Chadema kama wao ni wasafi wanalia nini si wasubiri tu. Takukuru hii ni mfano sipata kuona inafanya kazi nzuri sana bila ya kujali elimu ya mtu sijui aliyesema ana elimu gani sababu kila mtu ana kiwango chake hata huko jeshini pia wasomi wapo sio jeshi la kikoloni hili
Tutaendelea kuwaumbua bila w
asa
 
Huna hoja subiri uchunguzi ukamilike mtapata taarifa, mnaweweseka nini kama hakuna tatizo,
 
Erythrocyte Takukuru wametoa report ya uchunguzi?? Kama bado basi hujatenda haki ya kuhukumu bila kuwa na ushahidi. Kibaya wewe unajulikana ni mwana ufipa damu damu, so bila evidence uzi wako ni uzushi na uongo.
 
Shida ni kwamba hata mwizi huenda kuiba palipo na cha kuiba!

Kwa hiyo chadema wangekuwa wasafi usingeona takukuru wakiweka kambi kwa muda wote huo hapo chadema!
Tusipenda kuutumia ujinga na uwendawazimu. Hivi TAKUKURU wana utaalam wa juu ya mahesabu ya fedha kuizidi ofisi ya TAKUKURU? CAG alikwishasema hakuna ubadhirifu wa fedha, hii taasisi ya TAKUKURU ambayo watumishi wake wanaongoza kwa kupokea rushwa, wanasema wanaenda kuichunguza CHADEMA.

Hivi CHADEMA kulikuwa na tuhuma za kupokea au kutoa rushwa? Au walisikia vibaya - walipoambiwa kuwa CCM inatoa rushwa kurubuni wabunge na madiwani wa CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnalo wana ufipa, kifundo cha mguu wenu lazima azitapike hizo bil 8, hatujui ka atazitolea makalioni
 
Ni wazi TAKUKURU baada ya kushindwa kubaini makosa kwenye michango ya wabunge wa Chadema , kutokana na kudanganywa na Peter Lijuakali, Mbunge aliyeanza vituko Chadema kutokana na chuki ya kukataliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa Chadema Mkoani Morogoro, ikaanza njama zingine nje ya tuhuma za awali...

Kama chadema wanajuwa hakuna matumizi yasiokuwa halali wanashindwa nini kutoa taarifa kwa TAKUKURU ili kuweka wazi na kujibu malalamiko ya kina lijualikari?

Toeni maelezo na taratibu za matumizi yake kikatiba kama yako sawa hao TAKUKURU watasepa wenyewe.

Na kama mkishindwa basi kuna hujuma mmefanya maana kama huna kosa kuna haja gani ya kurumbana na TAKUKURU?
 
Usivamie uzi kama hujaelewa
 
Ni wazi TAKUKURU baada ya kushindwa kubaini makosa kwenye michango ya wabunge wa Chadema , kutokana na kudanganywa na Peter Lijuakali, Mbunge aliyeanza vituko Chadema kutokana na chuki ya kukataliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa Chadema Mkoani Morogoro, ikaanza njama zingine nje ya tuhuma za awali...
Hizi ni fursa mnazopewa CHADEMA.

Kazi yenu ambayo sijaona mkiifanya kwa ustadi ni kuzitumia fursa hizi ziwaletee manufaa.

Mngekuwa na watu wawili watatu hivi, wenye uwezo wa kuyafanyia matukio yote haya na kuya'package' kwa njia nzuri inayoeleweka kirahisi na mwananchi wa kawaida, haya yote yangekuwa mtaji mkubwa sana kwenu

Hili tuliwadokeza kungali mapema sana.
Tukawahimiza, muitumie ruzuku yenu vizuri kujenga vitengo imara ndani ya chama chenu kuelekea uchaguzi.

Kwa mwonekano toka nje haionyeshi kwamba ushauri huu mliupa nafasi stahiki. Sasa mtakabiliwa na kazi ngumu ya kuanza mwanzo kabisa kwenda kujieleza kwa wananchi wakati kukiwa na kelele nyingi zinazoondoa fikra zao kwenye hayo mnayotaka wayajue.
 
Usivamie uzi kama hujaelewa
Nasema kwa sababu nimemsikia M,nyika hivyo naelewa nini kinaendelea. Yeye atowe nyaraka hizo, pesa zimetumika wapi? Na kulingana na katiba hizo pesa zinatoka kwa utaratibu gani, na kama utaratibu ulitumika kwa usahihi basi takukuru watafunaga faili.

Najua chadema hawana majibu juu ya hilo swara na ndo maana wanaleta kwa wananchi lakini hakuna namna zaidi ya kupeleka nyaraka tu.
 
Tusipenda kuutumia ujinga na uwendawazimu. Hivi TAKUKURU wana utaalam wa juu ya mahesabu ya fedha kuizidi ofisi ya TAKUKURU? CAG alikwishasema hakuna ubadhirifu wa fedha, hii taasisi ya TAKUKURU ambayo watumishi wake wanaongoza kwa kupokea rushwa, wanasema wanaenda kuichunguza CHADEMA.

Hivi CHADEMA kulikuwa na tuhuma za kupokea au kutoa rushwa? Au walisikia vibaya - walipoambiwa kuwa CCM inatoa rushwa kurubuni wabunge na madiwani wa CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaoenda kukagua chadema ni binadamu, na pengine ni washabiki wa chadema,
Hivyo basi wanaweza kutoa taarifa zisizo sahihi aidha kwa vipande vya fedha au kwa ushabiki.
 
Takukuruccm wanatumwa kwenda kuwabambikia kesi chadema mwenye ubaya ni yule anayewatuma

Kama chadema wana nyaraka sahihi sasa hofu ya nini?

Kama watabambikiziwa kesi basi watashinda mahakamani, sasa uoga wa nini? Na mnyika kama anajiamini basi aite debate kati yake na lijualikari na waitara ili watusomee katiba inasemaje na je katiba ilifuatwa kuhusu hayo matumizi?

Hiyo ndo dawa ya uwazi, na sio kuomba serikari itowe uwazi wakati nyie hamtaki kuwa wazi.
 
Back
Top Bottom