Baada ya kuthibitika kutumika kisiasa kuikandamiza CHADEMA ni vema Mkurugenzi wa TAKUKURU akajiuzulu

Kwa mujibu wa kamusi ya lugha ya " wanyamwezi" wa Mwakaleli Mbeya jina la huyu jenerali (mbungo) maana yake ni "makamasi".
 
Wanangoja nini kuweka huo ushahidi mezani? Wanaume wazima kabisa wanatumwa kwenda kushinda kwenye ofisi za wanaume wengine, kuchunguza mambo ya siasa za kimbea, kisha wanajikuta hawana lolote la maana, wanabaki kujibebisha ili watangeneze taarifa za kubeba siasa chafu. Kama sio uh@nithi ni nini?
Kaka, TAKUKURU ni Taasisi ya Umma siyo wanaume, na hiyo Ofisi yenu siyo ya wanaume wengine ni Ofisi ya Umma inayoendeshwa kwa fedha za ruzuku za walipa kodi. Kinachochunguzwa hapo siyo siasa za kimbea ni tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Umma uliokua unafanywa na viongozi wenu kwa muda mrefu sana. Ofisi za Umma zinaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na taratibu, haziendeshwi kihuni kama mnavyotaka nyinyi. Subirini matokeo ya taarifa yao, hizi kelele za nini? Nyinyi si mnajiamini mpo safi na mlikaguliwa na CAG mkapata hati safi? Sasa wasiwasi unatoka wapi?

Halafu TAKUKURU kazi yao ni kuchunguza tu, kama kuna hatia mtaenda Mahakamani kujitetea, sasa hii huruma ya wananchi mnayoitafuta kabla uchunguzi haujakamilika ni ya nini?
 
Hata wakoloni walikuwa na taasisi za umma boss, hizo taasisi zilitumika kukandamiza wananchi wasiokubali kutawaliwa. Hiyo takukuru nayo imejikuta kwenye siasa majitaka, kwa kisingizio cha taasisi ya umma.
 
Kwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa.

Leo hii kuichunguza CHADEMA basi inafanya siasa za maji taka. Kwani CHADEMA ni kitu gani hasa mpaka hakitakiwi kuguswa au kuchunguzwa? Mahaba yanawafanya mpaka akili zinawaruka mnashindwa kuona uhalisia.
 
Kwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa. Leo hii kuichunguza CDM basi inafanya siasa za maji taka. Kwani CHADEMA ni kitu gani hasa mpaka hakitakiwi kuguswa au kuchunguzwa? Mahaba yanawafanya mpaka akili zinawaruka mnashindwa kuona uhalisia.
Kuomba mikakati ya ushindi ya chama tokea 2014 inahusians VIP na matumizi mbaya ya posho, na kwanin CAG alikua amewapa hati Safi hata juzi kawapa hati safi
 
Kwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa. Leo hii kuichunguza CDM basi inafanya siasa za maji taka. Kwani CHADEMA ni kitu gani hasa mpaka hakitakiwi kuguswa au kuchunguzwa? Mahaba yanawafanya mpaka akili zinawaruka mnashindwa kuona uhalisia.

Ni hivi, hao Takukuru ni wahuni kama wahuni wengine. Hawana lolote zaidi ya kuendekeza siasa za kishamba ndani ya taasisi iliyopaswa kufanya kazi nje ya siasa majitaka.
 
😆😆 Huna hoja mjomba.
Sina hoja? Pole sana,
Kama chadema wameshindwa kutoa taarifa ya matumizi kidogo tu kwa takukuru, je wakipewa nchi ambayao ina ma taasisi kibao waweza kweli kusimamia?

Chadema kama chama mbadala kilitakiwa kutokuwa na hofu na utendaji wake ili kuonyesha uwezo mkubwa tofauti na CCM, sasa kama wanashindwa kuwa tofauti basi hakuna haja ya kuwapa madalaka.
 
Kwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa. Leo hii kuichunguza CDM basi inafanya siasa za maji taka. Kwani CHADEMA ni kitu gani hasa mpaka hakitakiwi kuguswa au kuchunguzwa? Mahaba yanawafanya mpaka akili zinawaruka mnashindwa kuona uhalisia.
Hujui kitu wewe , endelea kujidhalilisha kwa gharama ya tsh 7000
 
Hata wakoloni walikuwa na taasisi za umma boss, hizo taasisi zilitumika kukandamiza wananchi wasiokubali kutawaliwa. Hiyo takukuru nayo imejikuta kwenye siasa majitaka, kwa kisingizio cha taasisi ya umma.
umembonda kichwa !
 
Hapo ndo mwisho wa siku unakuja kuaibika kwa maana unahoji watu halafu unaona hakuna popote palipofanyika ubadhirifu wa fedha zilizochangwa na wabunge wa CHADEMA.

Bora hata hao Takukuru wangejiuliza kwa nini CAG katoa hati safi baada ya ukaguzi CHADEMA. Kutumika kisiasa kumewaponza na hata ripoti ya uchunguzi sijui unaandaaje kwa mazingira hayo.
 
Ni hivi, hao Takukuru ni wahuni kama wahuni wengine. Hawana lolote zaidi ya kuendekeza siasa za kishamba ndani ya taasisi iliyopaswa kufanya kazi nje ya siasa majitaka.
Kuna siasa gani wanafanya hapo? Maana pesa za umma zimepigwa kijanja. Sasa kuna kosa gani kuzifuatilia na wahusika wachukuliwe hatua?
 
Ni kweli,
Hakika tuuma zozote kuelekea kwa mtu au taasisi yoyote haziwezi kuharalishwa mpaka upelelezi na uchunguzi wa kina ufanyike,
Lijualikali ana tuhuma za kujibu kukidharirisha chama.

Kuna mpango mkakati ulitumika hapo kwa masrahi ya kisiasa
 
Huna hoja subiri uchunguzi ukamilike mtapata taarifa, mnaweweseka nini kama hakuna tatizo,
TAKUKURU wanatafuta pa kutokea baada ya kuingia mkenge, na hawatopapata. Jitahidini malumumba kuwasaidia kwa kugawana hiyo AIBU. Ndugai, Lijualikali, Silinde, Mwambe na washabiki wako wapi kuwatoa kwenye hayo matope ya kujitakia?
 
Cha Domo ndio wanatafuta pakutokea, wao ndio wanaochunguzwa,wao ndio walio lalamikiwa , wao ndio wanalialia kutafuta huruma hii Sacco's mwisho wake ni mbaya

Kuna siasa gani wanafanya hapo? Maana pesa za umma zimepigwa kijanja. Sasa kuna kosa gani kuzifuatilia na wahusika wachukuliwe hatua?

Umefuatilia mwenendo wao hao Takukuru kwenye hilo suala? Hakuna anayekataa kuchunguzwa, na hata cdm walitoa ushirikiano. Lakini kinachoendelea sasa hivi sio uchunguzi tena, bali ni viashiria vya maelekezo ya siasa chafu.
 
Cha Domo ndio wanatafuta pakutokea, wao ndio wanaochunguzwa,wao ndio walio lalamikiwa , wao ndio wanalialia kutafuta huruma hii Sacco's mwisho wake ni mbaya

View attachment 1496416
Pole sana
Kumbe nawe wajitahidi kuokoteza?
Labda ukaongeze na hii, mwambie asisahau ALETE na vielelezo labda utawezasaidia kuwatoa TAKUKURU walipokwamia.
Maana saa hizi wanahangaika kuchakurachakura mpaka mipango na mikakati ya CHAMA.
Utapata bk 7 x 4.
 
Umefuatilia mwenendo wao hao Takukuru kwenye hilo suala? Hakuna anayekataa kuchunguzwa, na hata cdm walitoa ushirikiano. Lakini kinachoendelea sasa hivi sio uchunguzi tena, bali ni viashiria vya maelekezo ya siasa chafu.
Viashiria gani vya siasa chafu? Na wewe umetumia vigezo gani kuvijua?
 
Back
Top Bottom