Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka, TAKUKURU ni Taasisi ya Umma siyo wanaume, na hiyo Ofisi yenu siyo ya wanaume wengine ni Ofisi ya Umma inayoendeshwa kwa fedha za ruzuku za walipa kodi. Kinachochunguzwa hapo siyo siasa za kimbea ni tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Umma uliokua unafanywa na viongozi wenu kwa muda mrefu sana. Ofisi za Umma zinaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na taratibu, haziendeshwi kihuni kama mnavyotaka nyinyi. Subirini matokeo ya taarifa yao, hizi kelele za nini? Nyinyi si mnajiamini mpo safi na mlikaguliwa na CAG mkapata hati safi? Sasa wasiwasi unatoka wapi?Wanangoja nini kuweka huo ushahidi mezani? Wanaume wazima kabisa wanatumwa kwenda kushinda kwenye ofisi za wanaume wengine, kuchunguza mambo ya siasa za kimbea, kisha wanajikuta hawana lolote la maana, wanabaki kujibebisha ili watangeneze taarifa za kubeba siasa chafu. Kama sio uh@nithi ni nini?
Kaka, TAKUKURU ni Taasisi ya Umma siyo wanaume, na hiyo Ofisi yenu siyo ya wanaume wengine ni Ofisi ya Umma inayoendeshwa kwa fedha za ruzuku za walipa kodi. Kinachochunguzwa hapo siyo siasa za kimbea ni tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Umma uliokua unafanywa na viongozi wenu kwa muda mrefu sana. Ofisi za Umma zinaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na taratibu, haziendeshwi kihuni kama mnavyotaka nyinyi. Subirini matokeo ya taarifa yao, hizi kelele za nini? Nyinyi si mnajiamini mpo safi na mlikaguliwa na CAG mkapata hati safi? Sasa wasiwasi unatoka wapi?
Halafu TAKUKURU kazi yao ni kuchunguza tu, kama kuna hatia mtaenda Mahakamani kujitetea, sasa hii huruma ya wananchi mnayoitafuta kabla uchunguzi haujakamilika ni ya nini?
Kwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa.Hata wakoloni walikuwa na taasisi za umma boss, hizo taasisi zilitumika kukandamiza wananchi wasiokubali kutawaliwa. Hiyo takukuru nayo imejikuta kwenye siasa majitaka, kwa kisingizio cha taasisi ya umma.
Kuomba mikakati ya ushindi ya chama tokea 2014 inahusians VIP na matumizi mbaya ya posho, na kwanin CAG alikua amewapa hati Safi hata juzi kawapa hati safiKwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa. Leo hii kuichunguza CDM basi inafanya siasa za maji taka. Kwani CHADEMA ni kitu gani hasa mpaka hakitakiwi kuguswa au kuchunguzwa? Mahaba yanawafanya mpaka akili zinawaruka mnashindwa kuona uhalisia.
Kwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa. Leo hii kuichunguza CDM basi inafanya siasa za maji taka. Kwani CHADEMA ni kitu gani hasa mpaka hakitakiwi kuguswa au kuchunguzwa? Mahaba yanawafanya mpaka akili zinawaruka mnashindwa kuona uhalisia.
Sina hoja? Pole sana,😆😆 Huna hoja mjomba.
Hujui kitu wewe , endelea kujidhalilisha kwa gharama ya tsh 7000Kwahiyo TAKUKURU kuichunguza CHADEMA ni kuwakandamiza wananchi. Taasisi hii imeshachunguza watu binafsi na Taasisi nyingi sana pale ambapo imepewa taarifa za harufu ya rushwa. Leo hii kuichunguza CDM basi inafanya siasa za maji taka. Kwani CHADEMA ni kitu gani hasa mpaka hakitakiwi kuguswa au kuchunguzwa? Mahaba yanawafanya mpaka akili zinawaruka mnashindwa kuona uhalisia.
umembonda kichwa !Hata wakoloni walikuwa na taasisi za umma boss, hizo taasisi zilitumika kukandamiza wananchi wasiokubali kutawaliwa. Hiyo takukuru nayo imejikuta kwenye siasa majitaka, kwa kisingizio cha taasisi ya umma.
Kuna siasa gani wanafanya hapo? Maana pesa za umma zimepigwa kijanja. Sasa kuna kosa gani kuzifuatilia na wahusika wachukuliwe hatua?Ni hivi, hao Takukuru ni wahuni kama wahuni wengine. Hawana lolote zaidi ya kuendekeza siasa za kishamba ndani ya taasisi iliyopaswa kufanya kazi nje ya siasa majitaka.
TAKUKURU wanatafuta pa kutokea baada ya kuingia mkenge, na hawatopapata. Jitahidini malumumba kuwasaidia kwa kugawana hiyo AIBU. Ndugai, Lijualikali, Silinde, Mwambe na washabiki wako wapi kuwatoa kwenye hayo matope ya kujitakia?Huna hoja subiri uchunguzi ukamilike mtapata taarifa, mnaweweseka nini kama hakuna tatizo,
Unajua majukumu ya TAKUKURU?
Cha Domo ndio wanatafuta pakutokea, wao ndio wanaochunguzwa,wao ndio walio lalamikiwa , wao ndio wanalialia kutafuta huruma hii Sacco's mwisho wake ni mbayaTAKUKURU wanatafuta pa kutokea baada ya kuingia mkenge, na hawatopapata. Jitahidini malumumba kuwasaidia kwa kugawana hiyo AIBU. Ndugai, Lijualikali, Silinde, Mwambe na washabiki wako wapi kuwatoa kwenye hayo matope ya kujitakia?
Kuna siasa gani wanafanya hapo? Maana pesa za umma zimepigwa kijanja. Sasa kuna kosa gani kuzifuatilia na wahusika wachukuliwe hatua?
Pole sanaCha Domo ndio wanatafuta pakutokea, wao ndio wanaochunguzwa,wao ndio walio lalamikiwa , wao ndio wanalialia kutafuta huruma hii Sacco's mwisho wake ni mbaya
View attachment 1496416
Viashiria gani vya siasa chafu? Na wewe umetumia vigezo gani kuvijua?Umefuatilia mwenendo wao hao Takukuru kwenye hilo suala? Hakuna anayekataa kuchunguzwa, na hata cdm walitoa ushirikiano. Lakini kinachoendelea sasa hivi sio uchunguzi tena, bali ni viashiria vya maelekezo ya siasa chafu.
Pole subirini uchunguzi ukamilikePole sana
Kumbe nawe wajitahidi kuokoteza?
Labda ukaongeze na hii, mwambie asisahau ALETE na vielelezo labda utawezasaidia kuwatoa TAKUKURU walipokwamia.
Maana saa hizi wanahangaika kuchakurachakura mpaka mipango na mikakati ya CHAMA.
Utapata bk 7 x 4.
Viashiria gani vya siasa chafu? Na wewe umetumia vigezo gani kuvijua?