Sole Proprietor
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 223
- 254
Kwani huwezi kuwa umetoka kuoga na kujisugua vizuri lakini akaja mtu na kipaza sauti akasema wewe ni mchafu na watu Wakamwamin?
Sasa Chadema kama wao ni wasafi wanalia nini si wasubiri tu. Takukuru hii ni mfano sipata kuona inafanya kazi nzuri sana bila ya kujali elimu ya mtu sijui aliyesema ana elimu gani sababu kila mtu ana kiwango chake hata huko jeshini pia wasomi wapo sio jeshi la kikoloni hili
asa