Baada ya kuthibitika kutumika kisiasa kuikandamiza CHADEMA ni vema Mkurugenzi wa TAKUKURU akajiuzulu

Baada ya kuthibitika kutumika kisiasa kuikandamiza CHADEMA ni vema Mkurugenzi wa TAKUKURU akajiuzulu

Shida ni kwamba hata mwizi huenda kuiba palipo na cha kuiba!

Kwa hiyo chadema wangekuwa wasafi usingeona takukuru wakiweka kambi kwa muda wote huo hapo chadema!
Hivi Ile ripoti ya Bashiru kabla hajawa KM ilivyonyesha namna watu walivyojimilikisha Mali za CCM ilitua TAKUKURU?
 
Ccm ya zaman? Ccm waliwahi kunadilika lini,

Alafu huwez kufananisha huu ujinga wa Takukuru na kitu chochote, una mchunguza mtu bila kumwambia unachochinguza? Unamchunguza mtu kwa kutaka mipango mikakat yake ya siri uliyotumwa na mpinzan wake?
Msianze kupiga kelele za kujaribu kuingilia uchunguzi.
Haya mambo mtaonekana mnajaribu kuwalinda watu dhidi ya makosa yao flani kama yapo.

Acheni uchunguzi uishe kisha wahusika wasipokuwa na hatia watakuwa wamesafishwa au wakiwa na hatia wataenda kujitetea mahakamani. Mambo kama ndiyo yametufikisha pabaya kwenye rushwa na ubadhirifu wa mali za umma.

Hiki ulichokifanya hapa ni tabia za siasa za CCM ya zamani au siasa za kiafrika za kulinda viongozi wabadhirifu kwa mgongo wa siasa.
 
Hujui kitu wewe , endelea kujidhalilisha kwa gharama ya tsh 7000
We unajidhalilisha kwa gharama ya kiasi gani? Au wewe ni Joyce Mukya? Ukute tunabishana na Kamanda Mukya humu, maana yeye maslahi yake ndani ya chama ni mapana zaidi na ya kipekee. Kwahiyo lazima akipiganie chama kwa nguvu zote.
 
Takukuru aibu aibu huyo mkurugenzi ajiuzulu mara moja hafai ni ccm pia anadharilisha jeshi
 
We unajidhalilisha kwa gharama ya kiasi gani? Au wewe ni Joyce Mukya? Ukute tunabishana na Kamanda Mukya humu, maana yeye maslahi yake ndani ya chama ni mapana zaidi na ya kipekee. Kwahiyo lazima akipiganie chama kwa nguvu zote.
Bashite nenda kalee mtoto chupa wako hivi mbona kichwani mwako una manyenyele wewe
 
Kuomba mikakati ya ushindi ya chama tokea 2014 inahusians VIP na matumizi mbaya ya posho, na kwanin CAG alikua amewapa hati Safi hata juzi kawapa hati safi
Hivi CAG ni malaika? Kwamba akikagua yeye basi hakuna mwingine anaeweza kuona dosari. Kwanza hati safi inategemea CAG alikagua nn? Na kama mnasema CAG alitoa hati safi, sasa mnaogopa nn kukabidhi nyaraka kwa TAKUKURU na yeye aone huo usafi mlio nao.
 
Back
Top Bottom