Tetesi: Baada ya kutishwa, Ruge Mutahaba muda mfupi ujao anaenda kupingana na ushahidi uliokuwepo

Status
Not open for further replies.
Kwan wewe na ruge nani anajua zaid?
 
Nazani ushapata majibu ya matango pori uliyotulisha.
 
Nashukuru leo Uzi wangu kuweza kutembelewa na Watu wengi kama Wewe na najua mpaka siku ikiishia huu uzi wangu unaweza hata kutembelewa na Watu wote waliopo duniani. Karibuni sana katika uzi wa GENTAMYCINE na nafurahi kuona uzi ukitiririka.
SAWA TU... Kinachofuatia watu watakusifia kwa ujinga ulioumwaga humu
 
watanzania uongo si kitu si mali. Jamii forum imevamiwa na watototo kila ujinga anaoufikiri mtu anaandika kama habari. Mtake radhi mwanamume mwenzio mr Mtahaba
 
kwani wewe ni muongo??????/ mbona hajamtetea RC kwa nguvu na kumkandamiza gwajima?? Inamaana ulilotoa hapa ni povu tuu

Mwandishi wa Habari Mbobezi ana mbinu nyingi za kufanikisha kile akitakacho au kufikisha ujumbe fulani kwa maslahi mapana ya nchi. Bado nasisitiza kuwa najiona Mshindi juu ya huu UZI kwani ama hakika lengo langu kwa 100% limetimia na leo nina furaha kubwa hasa nikiamini kuwa muda wowote Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ATATUMBULIWA kitu ambacho ndicho nakitaka na nimekuwa nikikipigania humu JF kwa takribani mwezi sasa.
 
HAYA TUAMBIE LUGE KAMSIFIA BASHITE AU KAMPONDA?

KAMPONDA na ndicho kitu ambacho nilikuwa nakitaka akifanye hivyo GENTAMYCINE najiona Mshindi leo na nina furaha kubwa na ya ajabu sana. Akhsante Ruge Mutahaba.
 
Ruge keshafanya yake.
Kanyoosha rula.
Clouds hawatishiwi nyau.
Ruge kajenga heshima sana kwa fani yake (na ya tasnia nzima ya habari) siku ya leo.
Angetishika na kutetereka ingekuwa balaa.

Ruge amekuwa kama wale wanasheria wa TLS waliovipuuza vitisho vya Mwakyembe na wakapiga kura kidemokrasia, kwa amani na kwa vigezo vyao wakivyojiwekea wenyewe.
 
usitake sifa katika yote yaliyosemwa hakukuwa na ushawishi wako hata kidogo. wewe ni MUONGO ni tabia ya kukera na kujidharirisha
 
Na nia yangu nataka aseme ukweli na asilete unafiki. Hata Mimi namtizama pia. Na kama Ruge anasema ukweli sasa imekuwaje Watangazaji Sam Sasali, Hassan Ngoma na Babie Kabae wanamtetea wazi wazi Makonda tena bila aibu?
Watu kama nyinyi ndio watungaji na wasambaza fake news kwenye mitandao.
 
Hamkumuelewa rafiki yangu uyu nia yake ilikua ni kumtisha ruge ili leo anyooshe maelezo na ndivyo ilivyokua
 

We mwanamke kweli kiboko dah..!
 
...waambie,WASITUZOEE KABISA!!
...hatutaki MAZOEA,kuzoeana!!
.shubaamit!
 
Nimefurahi LENGO LANGU KUU LIMETIMIA. Akhsante sana Ruge Mutahaba kwani umenirahishia Kazi yangu ya upigaji Kampeni Makonda AFUKUZWE KAZI rasmi.
Naona Sasa wamekuwa kidogo pia wapunguze vipindi vya kijinga jinga..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…