[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzuri mmoja baada ya hayo mahojiano ataandika tena bandiko lingine tena kwa lugha ya kibeberu
Tuna Kabudi atatutafsiriaUzuri mmoja baada ya hayo mahojiano ataandika tena bandiko lingine tena kwa lugha ya kibeberu
Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.
Balozi hawekwi ndani...ila TZ ikitaka itamtembeza kwenye hostpitali aone na kuthibitisha...Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.
Subirini 2200 chadema mkichukua madaraka ndio mtahoji hayoWamuulize pia ushahidi wa madai ya Secretary Pompeo kumpiga ban RC wetu kuingia Marekani. Ushahidi wa madai hale utatuweka huru kwani yalikuwa ni mazito.
Hahahah.. Una hasira kweli!USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Nadhani to be fair wewe ndiye mtu wa ovyo kabisa.. sisi tunangojea USA wa-retract statement yao..USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Atasema USA wamepiga simu wanatupongeza 🤣🤣🤣Tuna Kabudi atatutafsiria
Mbona wewe hawajakua?USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Unafikiri sijui? Mbona nime-kejeli tu? Athibitishe nini wakati yeye anawapa raia wake hali halisi? Hujui nchi kama USA zinathamini sana sana usalama na uhai na raia wake na siyo kama hapa Bongo wanakoona uhai wa raia ni kama wa nzi tu?Balozi hawekwi ndani...ila TZ ikitaka itamtembeza kwenye hostpitali aone na kuthibitisha...
Hawawezi kuua watu 59 Millioni.Mbona wewe hawajakua?
Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.