Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Kwani RAIA wa marekani walioambukizwa korona wakiwa tz ni wangapi ? na waliokufa tz ni wangapi ? Nyinyi wapinzani ndiyo maana magu anazidi kusifiwa kwa kuwa mnashindwa hata kujua hoja hai na hoja mfu matokeo yake mnakuja kuumbuka hadharani na nyota zenu kufifia ,ukweli ni kwamba hata wamarekani waliopo tz wanajua tz ni salama zaidi kuliko marekani kwenye ili swala la korona huo ndiyo ukweli " naked truth "
 
Serikali ya Tanzania imemuita na kumhoji balozi wa Marekani Tanzania juu ya kile kinachoitwa travel alert iliyotolewa na ubalozi huo.

Serikali imemtaka kuandika habari zilizothibitishwa na serikali ya Tanzania juu ya corona.

Taarifa zilizothibitishwa na serikali....Kwani taarifa gani zipo kwa sasa? Hiyo ya wagonjwa 509 na vifo 21 tu? Na wale mamia ya madereva waliokutwa na maambukizi...Kenya wamerudishwa madereva 189 baada ya kukutwa na Corona, Zambia zaidi ya madereva wa Tanzania 70, Uganda zaidi ya 50 na Rwanda 23. Hao madereva siyo watu au ni ROBOTS? Eti taarifa zilizothibitishwa na serikali???....Serikali feki, taarifa feki na kila kitu feki. Nani anaamini hii serikali mbovu?
 
Mkuu Serikali itaachaje kuwa ya hovyo wakati Kiongozi Mkuu anaamini ktk nguvu za giza kuliko Wataalam wa Afya kwenye uhalisia wa sayansi??

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Serikali itaachaje kuwa ya hovyo wakati Kiongozi Mkuu anaamini ktk nguvu za giza kuliko Wataalam wa Afya kwenye uhalisia wa sayansi??

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha upumbavu wewe...
Kwahiyo anaposema mkeshe mkiomba na kusali kwa Mungu hizo ndo nguvu za Giza unazozungumzia?.
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.

Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Katibu Mkuu ameeleza masikitiko yake kutokana na namna ambavyo Ubalozi huo umekuwa ukitoa taarifa mbalimbali za ushauri wa kiusafiri (travel advisory) zinazoandikwa na kusambazwa na Ubalozi wa Marekani kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo suala la namna Tanzania inavyoshughulikia ugonjwa wa COVID-19.

Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa! - JamiiForums

Nafikiri kilichompeleka katibu Mkuu kinapatikana kwenye Aya ya mwisho kabisa ya ujumbe huu wa kutishia Nyau mtu mzima.
 
Safi!
Kuna takataka zinafikiri tunaiogopa sana USA.
Mmejazwa upumbavu mpaka mmeiva. Mbona hawasemi Kaimu balozi kawajibu nini?
Hivi uongo na uzandiki imekuwa ndio tabia rasmi ya taifa? Kila kitu lazima mdanganye bila aibu?
Majibu ya Kaimu balozi lazima yalikuwa ya data na ndio maana mnashindwa kuyasema hadharani
 
Kuna data za kuaminika kuliko za Chama cha Mdktari Tanzania au nao ni waongo na wazandiki?
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.

Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Katibu Mkuu ameeleza masikitiko yake kutokana na namna ambavyo Ubalozi huo umekuwa ukitoa taarifa mbalimbali za ushauri wa kiusafiri (travel advisory) zinazoandikwa na kusambazwa na Ubalozi wa Marekani kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo suala la namna Tanzania inavyoshughulikia ugonjwa wa COVID-19.

Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa! - JamiiForums

Kumbe Balozi kaitwa ili kushukuriwa kwa US kupiga tafu Sekta mbali mbali kama Elimu,Afya na Ulinzi.
Pia kupongezwa kwa Uhusiano Mzuri wa USA na nchi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom