kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Twende na mbowe mjanja, wala hatafuni ruzuku.
USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.