Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Hamna jeuri hiyo hadi kihamaKuna sababu za msingi za kufikia hapo.
Ikifikia tutafunga balozi...
Hamna jeuri hiyo hadi kihamaKuna sababu za msingi za kufikia hapo.
Ikifikia tutafunga balozi...
Unajua kwamba kwao marekani walificha taarifa pia...
Na baadae ikageuka Trump akalalamika kuwa namba zinaongezwa za uwongo ili kumuharibia kwenye uchaguzi.
Usiamini kwa muzungu ni kwa malaika mkuu.
Kila nchi imekuwa na matatizo ya data.
Ameishia kuipongeza Marekani! Nawa kwa sabuni na maji yanayotiririka. COME CLEAN.Tuna Kabudi atatutafsiria
Kutomweka ndani sio kwasababu ni Mmarekani. Ni kwasababu ni Balozi. Hata angekuwa Balozi wa Comoro, huwezi kumuweka ndani katika nchi anayowakilisha. Hata Balozi wetu Masilingi (Kiboko ya Lissu) Wamarekani hawawezi kumuweka nani kwa KOSA LOLOTE atakalofanya huko. Umenielewa dogo? Haya njoo unywe K Vant. Ahahahahahahahaj
MATAGA bwana. Ushakula ugali umeshib unajifananisha na Marekani
Ila muda wowote Serikali ya Tanzania inaweza ikamkataa na ikamtaka aondoke nchini ndani ya muda watakaoweka na ikaitaka Serikali ya Marekani iletae Balozi mwingine.Wacha awanyooshe sasa
Ufanane na wapumbavu mkuu!Hii serikali imekaa kishamba sana.
Diplomasia iko sifuri kabisa.
Bado sijajua serikali ilikuwa inatuma ujumbe gani kwa kutueleza kuwa imeita na kumuhoji huyo balozi?
What is next?
Kama lengo ni kumuita na kumhoji ili kujua kwanini balozi huyo amekuwa akitoa hizo taarifa, basi busara ya kidiplomasia huwa ni kulifanya siri hilo jambo, then baada ya ya kuongea naye, matokeo ndio tutayaona.
Hiyo ndio ID yako kule twiter?Jf noma mtu amecopy comment hapa anaenda kupaste kama comment yake huko twitter [emoji1787] acheni plagiarism wahusikaView attachment 1460261
Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.
Yetu macho na masikio lakini mbona mwisho wa taarifa naona kuna pongezi
Mtaishia kwa kina Idris Sultani tu! Hao mabeberu ndio kimbilio lenu!
Mabeberu supu walitia nazi, sasa tunawafunza supu yake ni ndimu na pilipili tuh!Huyu Beberu anaenda kuhojiwa na Kabudi ana kwa ana alafu atashea taarifa ncini kwake kwa Mabeberu wakuu
Jana wamekubali malipo ya US$100,000 maisha yaendelee
Ni maoni yako wewe
Ushamba ni mzigoAhahahahahahah! Unaomba ofa kiujanja! Njoo unywe K Vant! Ahahahahahahha!
Nimesoma mara mbili mbili huo mkeka hapo juu nilichokiona cha muhimu ni kwamba kaitwa kwa ajili ya kupeleka kilio cah serikali kwamba chonde choWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.
Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Katibu Mkuu ameeleza masikitiko yake kutokana na namna ambavyo Ubalozi huo umekuwa ukitoa taarifa mbalimbali za ushauri wa kiusafiri (travel advisory) zinazoandikwa na kusambazwa na Ubalozi wa Marekani kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo suala la namna Tanzania inavyoshughulikia ugonjwa wa COVID-19.
Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa! - JamiiForums
Kutoa ufafnuzi au kuliliwa na kupigiwa magoti chinde chonde tuache tujifie...uzuir ni kwamba wataendelea kuandikaWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.
Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Katibu Mkuu ameeleza masikitiko yake kutokana na namna ambavyo Ubalozi huo umekuwa ukitoa taarifa mbalimbali za ushauri wa kiusafiri (travel advisory) zinazoandikwa na kusambazwa na Ubalozi wa Marekani kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo suala la namna Tanzania inavyoshughulikia ugonjwa wa COVID-19.
Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa! - JamiiForums
Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.
Toeni data za COVID19 , dunia nzima inafanya hivyo kwa nini sisi???