Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Huna ujuwaloPongezi za nini, mbona hujamalizia?
Huna ujuwaloPongezi za nini, mbona hujamalizia?
Hujui kitu kuhusu diplomasia ya kimataifa dogo.Hamna jeuri hiyo kwani bado mnawategemea sana hao mabeberu
Makaburu hawaamini kuwa tuna uwezo wa kusimamia maamuzi yetu wenyewe! Marekani amekuwa akiburuza hata wazungu wa ulaya. Kwanza walitazamia kuwa tutakufa Sana na korona, haijatokea!! Wao kwa takriban miezi miwili mfululizo walikuwa wanazika watu zaidi ya 2,000 kwa siku!! Wanashangaa siri yetu ni nini? Hawajaamini!! Lakini watalazika kuamini tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ndo kiboko yenu. Mlizoea maisha ya madili - mtanyooshwa hadi mfe woteUSA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Chunga kauli zako mkuu,You are not so safeWakisikia CIA wanahisi wapo perfect kwa 100%
Wangekuwa wapo makini wasingeuliwa kizembe kule iraq ubalazini
Utasubiri sana.Nadhani to be fair wewe ndiye mtu wa ovyo kabisa.. sisi tunangojea USA wa-retract statement yao..
Nachokifahamu ni kua Marekani hua hawategemei hizi public available information ili kufanya maamuzi yao.
Na kwa nchi zetu hizi wala hawahitaji ridhaa ya serikali kutoa taarifa.
Tukumbuke prism project ya nsa na cia ya kukusanya taarifa zote Duniani na kusikiliza simu za watu wote.
Inawezekana kabisa hackers wa Marekani wameshaingilia mfumo wa mawasiliano wa serikali na wana taarifa zote za siri ambazo serikali haizisemi.
Nyie endeleen na porojo Ila nchi sasaiv inaongoza Kama nchi zingine zilizo endelea lazima ahojiwe ubalozi unapo kua kwenye nchi za watu hutakiw kuropoka unavyo jiskia unatakiwa ujue mipaka yako hongera Tanzania kwa kuendelea kusimama Kama nchi
Sisi wenyewe tunatafuta nchi ya kuwagawia misaada mkuu!!Angalieni msinyimwe misaada
tatizo jamaa kawapamba saana hai CIAKataa misaada yao kwanza then ndio urudi kuongea hayo iran tuliona walikataa mpaka misaada ya corona.
Ataleta Tashwishi tu kwa macho pima mithili ya zinkombinyo na mate pwaa!!mithili ya mvua[emoji3]Tuna Kabudi atatutafsiria
Wewe huoni/hujui kwamba sio jukumu langu kutoa hizo unazosema.Mkuu peleka hizo ulizo nazo, sjui unangoja nini kupeleka hizo Tarifa Maana ndg zako ukiwemo na wewe mna Corona wote!!
Lijinga kweli wewe boya, mbona hamjamweka ndani huyo Balozi?Hatucheki na mabeberu sisi tunawakamua tu
Asante kunifahamisha kuhusuCaesar and Brutus, ni kitabu gani , au una maana ya sinema ya Ceasar?Maswali ya kimbugwe hayo na majikbu yako wazi. La ziada kwako.... Soma zaidi kuhusu Caesar and Brutus, utajua ni nani akaribia kuzikwa usiku!
U balozi wa Marekani ulipopigwa bomu ma CIA wote waliofika kuchunguza waliweza walipata passport za Tanzania ndani ya wiki moja.Kabudi siku hizi amekuwa Mganga Mkuu wa Serikali.
Wamarekani siku tulipokubali kuwapa eneo lote lile waweke Ubalozi wao ndio siku tulipokubali hatma yetu siku zijazo itakuwa mikononi mwao.
Kikwete anajua mengi sana, ila ameamua kumuangalia tu Magufuli.
Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.