Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

Mkuu unajua maana ya Diplomatic Immunity?
 
Balozi hawekwi ndani...ila TZ ikitaka itamtembeza kwenye hostpitali aone na kuthibitisha...
Uko sahihi. Na kama hawaridhiki naye wanamuomba tu aondoke nchini lakini sio kumuweka ndani.
 

Kuna Vienna Convention hapo, kinachoweza kutokea ni kurudishwa USA tu, lakini sasa hivi hakuna hiyo haja kwa sababu USA wana uchaguzi October hivyo anaweza kabisa kubadilishwa mwisho wa mwaka. Hapo anaelezwa ukweli tu, aache longo longo Tanzania ni nchi sio pandikizi la USA.
 
USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Mkuu Serikali itaachaje kuwa ya hovyo wakati Kiongozi Mkuu anaamini ktk nguvu za giza kuliko Wataalam wa Afya kwenye uhalisia wa sayansi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vienna Convention inadanganye data za ugonjwa wa kuambukiza na wenye ukweli wakae kimya tu? Jiliwaze tu lakini USA hawakai kizembe zembe kama sisi. Usalama wa raia wao ni muhimu sana na hawaachi kuusema ukweli wanaoujua.
 
Cia hana maslahi yeyote Tanzania ndio maana kimeachwa hicho kibalozi ambacho cv yake hata haijashiba
 
Vienna Convention inadanganye data za ugonjwa wa kuambukiza na wenye ukweli wakae kimya tu? Jiliwaze tu lakini USA hawakai kizembe zembe kama sisi. Usalama wa raia wao ni muhimu sana na hawaachi kuusema ukweli wanaoujua.

Tatizo lako huelewi kilichoandikwa, mambo ya kidiplomasia yanahusiana na nini kuhusu Ubalozi wa Marekani kutoa habari ambazo haina uhakika nazo?
 
Nili-comment kwenye ule uzi kuwa safari hii lazima tujitutumue kumuita au kumtimua.

Wacha tuone mwisho wa hili jambo.

Wanampa ukweli wake tu, hakuna kumtimua wala nini. October sio mbali.
 
Wakisikia CIA wanahisi wapo perfect kwa 100%
Wangekuwa wapo makini wasingeuliwa kizembe kule iraq ubalazini
CIA wangekuwa kama unavyowapamba mataifa kama north Korea ,china,Iran na Cuba yasingekuwepi

All in all CIA ni watu
 
Okay

Na mama kasemaje? Mbona tunapewa habari upande mmoja?

Serikali za wenzetu zinawajibika kwa raia wake, usipotoa ushauri ipo siku utajikuta unashitakiwa na mtu aliyefiwa na ndugu
 
Kabisa
 
Hii ni serikali ya hovyo sana tangu tupate uhuru, viongozi karibu wote utafikiri wametolewa kwenye shit hole
Hujawahi kusoma au kukutana serikali za hovyo wewe, embu tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…