Balozi huwa hawekwi ndani,kimahusiano ya kimataifa hiyo ishu bado sana ndogo,kinachofanyika hapo ni kutengeneza mazingira tu ya kuonekana kuwa Tanzania inapingana na kile kilichotolewa na ubalozi,hii hufanyika kwa nchi zote duniani.Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.
Kuku aliyekatwa kichwa.Safi!
Kuna takataka zinafikiri tunaiogopa sana USA.
Wanalinda usalama wa raia wao.Mabeberu this time wanahaha
Sasa mkuu kwenye nchi ambayo humuweka rumande wiki nzima raia wake eti kwa ''kucheka suti ya rais'' huoni ni ni nchi ya kipekee? Ile picha ya suti ya Magufuli enzi hizo Magufuli mwenyewe alitakiwa kuwa proud nayo. Awape vijana motivation kuwa ametoka mbali. Kusema ukweli ile picha ndiyo ilitakiwa iwe fahari yake ukitilia maanani waafrika wengi tunatokea kwenye maisha duni. Kile kweli ni kitu cha kumuweka mtu ndani?Satire sio? OK!
Kwa maoni yangu, hapo ilibidi Idris atumie Confucianism Philosophy ya tenda kile ambacho hata yeye angependa utendewe. Mfano, anaweza akapost picha ya babaake huku anaidhihaki?Sasa mkuu kwenye nchi ambayo humuweka rumande wiki nzima raia wake eti kwa ''kucheka suti ya rais'' huoni ni ni nchi ya kipekee? Ile picha ya suti ya Magufuli enzi hizo Magufuli mwenyewe alitakiwa kuwa proud nayo. Awape vijana motivation kuwa ametoka mbali. Kusema ukweli ile picha ndiyo ilitakiwa iwe fahari yake ukitilia maanani waafrika wengi tunatokea kwenye maisha duni. Kile kweli ni kitu cha kumuweka mtu ndani?
Hatutegemei hela za watalii,vyanzo vya mapato viko vingi hi nchi Ni tajiri.USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Ukienda nje na ukakwama ndipo utakapojua namna TZ inavyowathamini raia wake. Waulize waTZ waliokuwa wamekwama India na Dubai. Nyie madogo msiojua namna dunia inavyokwenda mna shida sana, yaani mnavyoitukuza USA utadhani iko planet nyingine. The USA is rapidly losing global superpower status.Unafikiri sijui? Mbona nime-kejeli tu? Athibitishe nini wakati yeye anawapa raia wake hali halisi? Hujui nchi kama USA zinathamini sana sana usalama na uhai na raia wake na siyo kama hapa Bongo wanakoona uhai wa raia ni kama wa nzi tu?
πππ.. Ina maana haogopi kesi ya uchochezi?Uzuri mmoja baada ya hayo mahojiano ataandika tena bandiko lingine tena kwa lugha ya kibeberu
Do you have any evidence to support this statement?..The USA is rapidly losing global superpower status
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.
Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Katibu Mkuu ameeleza masikitiko yake kutokana na namna ambavyo Ubalozi huo umekuwa ukitoa taarifa mbalimbali za ushauri wa kiusafiri (travel advisory) zinazoandikwa na kusambazwa na Ubalozi wa Marekani kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo suala la namna Tanzania inavyoshughulikia ugonjwa wa COVID-19.
Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa! - JamiiForums
Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.