joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ungewahi kwa Mama kabla hajafa,ungeusubiria upepo wa kisulisuli,ungekuwa tayari ushapata mume.Nimechoka kudanga, nataka kuolewa huu mwaka[emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungewahi kwa Mama kabla hajafa,ungeusubiria upepo wa kisulisuli,ungekuwa tayari ushapata mume.Nimechoka kudanga, nataka kuolewa huu mwaka[emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bint wewe ushaolewa?
ALIIBA BATAAise Alifungwa kwa kosa gani
Mganga hajigangiAaaah yeye mwenyew alikua Single kama mimi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Binamu unataka Ndoa au ndowano?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado namsubiri kijana wako, maana ananipa tu Imani na utekelezaji sioni lolBint wewe ushaolewa?
Kuna siku alipost picha humu ya kivulana flani kisharobaro akasema ndiye yeye akasema wengi walihisi yeye mwanamke ile ni mwanaume. Sasa niliposoma hii ppost nikawa sielewi au naye ni delicious au aliongopa kwa ile picha. Ila sishangai dunia ina mambo hadi jogoo anaweza tagaAma kweli Mji Mgumu huu hivi sasa!!
Kumbe Mpwa warumi finally ume-reveal jinsia yako baada ya miaka kadhaa enzi za JK kutoiweka wazi?!
Na upwa wenyewe siutaki tena, na kuanzia sasa mimi na wewe ni mabinamu! Umesikia?
utakuwa na pua kama mabanda ya uwani😄😄😄Ukiwa singe ndo ndoano, mimi nataka ndoa ... mashoga zangu wote wameolewa wanapika futari, mie nipo nimezubaa kama Mamajusi wa mashariki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uskute huyu Warumi ndio PdidyAma kweli Mji Mgumu huu hivi sasa!!
Kumbe Mpwa warumi finally ume-reveal jinsia yako baada ya miaka kadhaa enzi za JK kutoiweka wazi?!
Na upwa wenyewe siutaki tena, na kuanzia sasa mimi na wewe ni mabinamu! Umesikia?
Huyo hata MIMI naoa MKUU.. MWANAMKE hajaguswa miaka nane HILO GENYE LAKE SIO LA KITOTO...ukimgusa huyo anaruka kama NYOKA KAMWAGIWA MAFUTA YA TAA...raha tupu hizo...JAMAA KAPAGAWAMmh! Ila kuna watu wana bahati zao mjini, shostito kasota jela miaka 8 katoka Hata Mwaka hana watu washachukua jiko, khaa. Wenzangu na mie akina chakubimbi tutaishia kuroga na kuiba waume za watu kuolewa hatuolewi, mxieew
Na mie toka nianze ushirikina mwaka juzi natafuta ndoa sipati, naishia kua mpango wa kando. Huyu mganga wangu jaman looh , inabidi nimtafute mganga wa cheupe dawa sikubali na mimi .
Roho inaniuma hapa nimevunja sana nazi njia panda usiku wa manane, nimepigwa chale mpka makalion warumi mie , hata ndoa ya mkeka sina mxiew..
View attachment 1430602
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kwanza ushirikina.Nimechoka kudanga, nataka kuolewa huu mwaka[emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji2][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Laumu kijijini kwako kutokua na umeme. Ungekua unaelewana na diwani ungekua unaenda kuangalia tv labda ungeubahatisha wimbo wa binti kiziwi