chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
ALICHOKISEMA EMMANUEL MBASHA KUHUSU MKE WAKE FLORA MBASHA.
Baada ya maneno mengi kuzaga kila kona ya Tanzania kwa wanandoa hawa wa wili.....Emmanuel Mbasha amefunguka na kuweka wazi anampenda mke
wake Flora Mbasha.
Kupitia kipindi cha Amplifaya cha Millardayo siku ya jana,Emmanuel Mbasha amesikika akisema anampenda mke wake Flora hivyo anamuomba arudi nyumbani wale familia.

Last edited by a moderator: