Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

.Haya ni matatizo ya wanaume kutofanya kazi na kutegemea mwanamke ,mimi siku zote nilikuwa namshangaa huyu kijana badala ya kufanya kazi anarukaruka jukwaani na mkewe ndio matokeo yake mke anaona vitu vyote kanunua kwa jasho lake, huyo Mbasha alikuwa anafanya shughuli gani akanunua hata shuka la sh 20000? Flora kachukua vitu sababu anajua kila kitu kimepatikana kwa jasho lake.
Mimi naamini haiwezekani Flora kufanya hivyo kuna kitu ambacho Mbasha amefanya kikubwa .Hakuna kitu kinachouma kama kumlea mwanaume miaka yote hiyo anakula,anavaa, na analala kwa jasho lako halafu anakutenda kwakuwa mzinzi.
Siamini kama Mbasha kabaka ila naamini alikuwa na mahusiano na hao wasichana ndio maana Flora kaamua kama kumkomoa na inawezekana hata nje alikuwa nao sasa ni revenge.

Mkuu ni kama vile ulikuwa kwenye akili yangu. Sometimes these good for nothing men wana shida sana. Jitu halina elimu, halina kazi, halina akili za maendeleo etc etc, kazi kuuza sura tu mjini eti 'handsome boy'...what the f**k!! Mwanaume kazi, na sio kuuza sura daily town. Huyu jamaa atetewe tu ili asiende jela lakini kwa hili la kunyang'anywa vitu, tusimlaumu flora kabisaaa.
 
Artist: Flora Mbasha
Song: Maisha ya Ndoa
Verse 1
Maisha ya ndoa ya fuanananishwa na safar
njiani kuna mambo mengi,
utapita milima,pia na mabonde, yahitaji
Jiepushe na marafiki ambao ni walafi, kw
Nafsi,
Chorus
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulini
Nitakupenda uwe mpenzi,

Kukupenda sito acha, maishani mwangu wot
Nitakupenda uwe mpenzi,
Verse 2
Mke uwangu wa moyo, unanipa raha tele, t
Mume wangu wa moyo, nakupenda sana mpenz
Wewe ni chanzo cha amani, furaha moyoni
Asubuhi kwangu ni njema, mchana mwema sa

Nampenda mpenzi wangu wa moyo, mimi ni w

penzi wa moyo,penzi wa moyo!
Chorus
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulini
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wot
Nitakupenda uwe mpenzi,
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulini
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wot
Nitakupenda uwe mpenzi,
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulini
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wot
Nitakupenda uwe mpenzi,
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulini
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wot
Nitakupenda uwe mpenzi,
 
nasikia hati ya nyumba na kadi ya gari nazo kabeba, mumewe kabaki tu na mapumbu yake , chezea mama wa jipe moyo utayashinda

Mimi nina hakika hata hiyo nyumba na kadi ya gari zina majina ya Flora ndio maana jamaa analia tu mi bado nampenda mke wangu, Flora anajua anachokifanya kesho atakuja kumtoa ndani.
Kama rafiki yetu Warumi team cobra dj akileta mchezo tunamfanya kama Mbasha.
kwikwii wanawake tafuteni hela jamani. siyo kama shoga yangu ananyang'anywa gari barabarani.
 
Kwan mbasha jaman anafanyia kampuni gani?? yani wanaume ma handsome wanapenda umarioo kiama, ndo atafute jimama lingine la kumlea
 
Mtu mwenye busara huwa kimya, akimtaraji Mungu afanye jambo Frola arudi nyumbani, lakini hii yakuanza kutafuta sympathy kwenye jamii kwa mwanaume haijakaa vizuri! Tulikuwa tunategemea Frola ndio alalamike na kuongea sana, lakini yeye halalamiki kama brother Emma.

Mwanzo wa hii tamthilia Emma alisikika akisema nimeondoka na kadi zote za benki na nimemuacha Frola mweupe kabisa, hatukumsikia Frola hata sikumoja akilalamika kwenye viombo vya habari kwamba kaachwa hana kitu, huyo jamaa anafananya mambo ya kitoto tu na ni uhuni unaoendelea! Wote Frola na Mbasha wanajua vizuri undani wa ndoa yao kuparaganyika, na wao ndio wenye uwezo wa kuresolve hiyo ndoa na sio jamii, ukitaka jamii ikuonee huruma itakuonea huruma na series ikikamilika utasahaurika na utaendelea na maisha yako ya vijiweni!

Pole Brother Emma, ikitokea mmerudiana, tafuta cha kufanya na wewe uanze kujiestablish vinginevyo utakuwa ni wa kulalamika kila siku. UNAKERA SANA.
 
Umeongea point mkuu hadi nakuogopa, wengi wanamponda sana florah, wanasahau kuwa florah sio chizi wala mwendawazimu anajua anachokifanya

Mie bado nipo kwenye maombolezo ya picha ya mama wema, yani nimeiona leo nimelia kiama, kutwa nzima

hahahaaa we unazani hadi madame alivyozimia mchezo........
 
nasikia hati ya nyumba na kadi ya gari nazo kabeba, mumewe kabaki tu na mapumbu yake , chezea mama wa jipe moyo utayashinda

hahaha binamu una maneno....... eti mumewe kabaki na mapumbu tu lol atajuta kumfaham flora
 
Mwacheni tu ila ajue kuwa mwisho wa ubaya ni aibu!!! Sijui ataimba tena huyu mama????

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
.Haya ni matatizo ya wanaume kutofanya kazi na kutegemea mwanamke ,mimi siku zote nilikuwa namshangaa huyu kijana badala ya kufanya kazi anarukaruka jukwaani na mkewe ndio matokeo yake mke anaona vitu vyote kanunua kwa jasho lake, huyo Mbasha alikuwa anafanya shughuli gani akanunua hata shuka la sh 20000? Flora kachukua vitu sababu anajua kila kitu kimepatikana kwa jasho lake.
Mimi naamini haiwezekani Flora kufanya hivyo kuna kitu ambacho Mbasha amefanya kikubwa .Hakuna kitu kinachouma kama kumlea mwanaume miaka yote hiyo anakula,anavaa, na analala kwa jasho lako halafu anakutenda kwakuwa mzinzi.
Siamini kama Mbasha kabaka ila naamini alikuwa na mahusiano na hao wasichana ndio maana Flora kaamua kama kumkomoa na inawezekana hata nje alikuwa nao sasa ni revenge.

'When a woman is fed uuup, there's nothin u can do bout it'...in R.Kelly voice
 
hahaha binamu una maneno....... eti mumewe kabaki na mapumbu tu lol atajuta kumfaham flora

Na yeye huyo mbasha yatamshinda, sasa ndo nini kuwaita waandishi wa habar wapige picha nyumba ikiwa tupu??, huyo mbasha nae mbea warumi kasingiziwa, halafu tushawashtukia ,wanapenda sana kuandikwa hawa, sasa waandishi mpaka chumbani kawapeleka na picha kapiga sijui ndo aliwatumia whatsapp ,wanajua wenyewe na majanga yao
 
Last edited by a moderator:
nasikia hati ya nyumba na kadi ya gari nazo kabeba, mumewe kabaki tu na mapumbu yake , chezea mama wa jipe moyo utayashinda

Hata kama ni mimi ninge beba wengi wanamlaum tu flora hawajui ndani kuna nini kwangu mwanaume kutembea na dada au mdogo wangu yani ni over wanawake wanavumilia ila hapa naona umemshnda kwa kwel
 
hahahaaa we unazani hadi madame alivyozimia mchezo........

Ivi umeiona picha binamu?? Dah waliotengeneza ni wataalamu wa hali ya juu, halafu eti nimeona leo kweny gazeti la ku edit picha ya uchi ya wema na ya mama yake, eti wameandika mtu na mama yake washindana kupiga picha za uchi, dah watu wamewaamulia hii familia aiseeh dah
 
Mwacheni tu ila ajue kuwa mwisho wa ubaya ni aibu!!! Sijui ataimba tena huyu mama????

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Aimbe mara ngap? Si nasikia juzi alikuwa dodoma anatumbuiza kama kawa
 
nasikia hati ya nyumba na kadi ya gari nazo kabeba, mumewe kabaki tu na mapumbu yake , chezea mama wa jipe moyo utayashinda

hahahahahahahahaaaaa..... mkuu umenichekesha mpaka basi,, hawa wanawake tuwapende na tuish nao kwa akili, usiombe ukamboa akakuchukia, ndo kama hivi.. huwa wakipenda wanapenda haswa wakichukia wanatapika haswaa
 
Back
Top Bottom