Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mwandishi bure kabisa ana maswali ya kitoto sana. Mbasha kasema anamjua anayemtumia msg za vitisho kwanini asimuulize ni mchungaji wa kanisa ama? Shame on you.
 
Hata kama emma ni mkosaji ila flora si mke halali why asiende kumjulia hali mumewe uko keko...
 
Hata kama emma ni mkosaji ila flora si mke halali why asiende kumjulia hali mumewe uko keko...

Ye mwenyewe kasuka huo mpango wa kumpeleka mumewe police halafu aende kumuona., sababu Frola alikuwa anao uwezo wa kuzuia kesi isifike police
 
.Haya ni matatizo ya wanaume kutofanya kazi na kutegemea mwanamke ,mimi siku zote nilikuwa namshangaa huyu kijana badala ya kufanya kazi anarukaruka jukwaani na mkewe ndio matokeo yake mke anaona vitu vyote kanunua kwa jasho lake, huyo Mbasha alikuwa anafanya shughuli gani akanunua hata shuka la sh 20000? Flora kachukua vitu sababu anajua kila kitu kimepatikana kwa jasho lake.
Mimi naamini haiwezekani Flora kufanya hivyo kuna kitu ambacho Mbasha amefanya kikubwa .Hakuna kitu kinachouma kama kumlea mwanaume miaka yote hiyo anakula,anavaa, na analala kwa jasho lako halafu anakutenda kwakuwa mzinzi.
Siamini kama Mbasha kabaka ila naamini alikuwa na mahusiano na hao wasichana ndio maana Flora kaamua kama kumkomoa na inawezekana hata nje alikuwa nao sasa ni revenge.

Wewe jamaa ni moja ya waafrika wachache waliobarikiwa akili za kufikiri.a word!
 
Back
Top Bottom