Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwaelewi au ndio mfumo dume wa kiafrika lkn huyu kaka kabaka na kesi bado inanguru mbona hamna huruma na mtoto ambaye amebakwa! Navyojua ni wanaume inavyofikiria kwa kutumia ... Inawezekana kabisa huyu kaka kambaka huyo mtoto na kujifanya victim.
ww ni askar polis nn? Hyo namba niliiyona kwa polis mmoja
Kupenda kazi kweli. Yaani na vurugu zote jamaa analia kwamba anapenda sana mke wake. Wanaume wachache nafikiri wa design hiyo.
Huyu jamaa ni BOYA, ngoja aendelee kiuteseka na kunyanyaswa na Flora. Kumbe inaonekana Flora ndiye aliyeanza kumpenda na kumu-aapproach. Sasa baada ya kuona hana dili tena, ameamua amtose mzima mzima. Yeye anachojua ni kwamba ANAMPENDA FLORA--utadhani kanyweshwa limbwata. Anaambiwa Flora kanunuliwa mchuma mpya na Gwajima lakini bado hashtuki, mbwiga sana--mwacche anendelee kuteseka mpaka Yesu atakaporudi. mpuuuuuuzi mkubwa!!
Hii picha imejengwa tu kisanii ili Mbasha aozee Jela Mkewe atumike Kama kibuludisho kwa wenye nazo, mbasha nenda kaombe msaada kwenye Ofisi za USA watakusaidia kukulipia mwanasheria bomba angalau upiganie Penzi lako.