Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Hapa amewapa picha jinsi watu wanaojiita Walokole baadhi Yao walivyo na Vioja huku wakijidai waumini bora kumbe ni bora waumini.
Aise inatisha sana..ila nmefuatilia wanasema hata mama yake alikuwa na hiyo tabia..inabidi tukioa tuchunguze vzr sana
 
Kumbe mnamiliki makampuni ya mfukoni? The bold, maake certificate mnawekaje nyumbani kama mna maofisi ya makampuni yenu
 
Last edited by a moderator:
Sasa ndo kalifuata dudus nyumbani kwa Gwajima?,au kaludi hoteli alikopangiwa?...
 
Florah hafai kuwa mke, hafai kuwa mwinjilist. Hata huyo Gwajima ama Mwanaume mwingine yeyote anaetoka na florah hivi sasa, nae ajihoji na kutafakari, kama Mbasha anatendewa hivi, itakuwaje kwake..!! Kunguru ni Kunguru tu, HAFUGIKI.
 
Jamani Mbasha is right. shetani yupo kikazi zaidi. kwani hamu ya mwanamke huisha baada ya dk 5 hadi 15 tu. so tumpe muda anayemgegeda kwa sasa atamruhusu arudi nyumbani. amen
 
Hebu msikilize mume wa Flora Mbasha akielezea masikitiko yake kuhusu kukombewa kila kitu nyumbani kwake, Tabata! Flora hakumuachia hata nguo ya kubadilisha--kamuacha kama mtoto yatima au kama kinda la ndege lisilokuwa na msaada kutoka kokote!


INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA - YouTube

Inasikitisha sana kwa kweli
mungu mpe nguvu kijana mwenzetu kwani haya yanayomsumbua sasa yaweza kumpata yeyote yule ni swala la muda tu,mungu muongoze kwa kila jambo na mfanyie wepesi ili haya mapito yapite salama
 
Aiseee hili swala gumu sn!

Pole sn Ndugu Emma! Mkabizi Mungu yote!
Ima anapita katika kipindi kigumu sana katika maisha yake. Kupokonywa mke, kama haitoshi unapewa kesi ya ubakaji, haitoshi inabebewa kila kitu ndani, kama haitoshi wanaokuwekea dhamana wanaingia mitini! Duh. Unaweza kujinyonga hivi hivi.
 
Ni kweli Mwanaume wa Ukweli Mwanamke akisepa unasaka mwingine maisha yanaendelea lakini cha Ajabu huyu Mbasha Kang'ang'ania Mke nampenda mke nampenda why? Mke kakubambikia Kesi,mke kaiba vyombo vya ndani vyote kasema,mke hajaja kukuona Gerezani, Mke kakudharau ! Eti bado Mbasha kakomalia anampenda Frola ! Hivi kweli frola akiludi kutakuwa na Mapenzi ya kweli?

He is strategic, is not about love ,is about the case on Court of law.
You can see how many people support him...actually are more than those who condemn him.
And the issue here is not about the case only but also the its motive;its seem to be well organised trap of Flora and the team.
The Jury/ wazee wabaraza and the judge listen to this,depend how much they buy what they hear....it may alter the case.

So is either Mbasha stay kimya na ama kupigania vyovyote asiende Jela miaka 30 au maisha ....wapi babu Seya!!!!?
 
pole kwadi ng'waitu endelee kumukulyi tunda maana nuanso ndo mugoli wa kila kintu. mungu atakuvusha na huu mtihani punde
 
sikuwahi kulipa kipaombele hili swala la mbasha+flora+gwajima.ila baada ya kuitazama hiyo clip mwanzo mwisho na kusikia maneno ya ima,nimehuzunika ghafla. very critical more than i thought.
 
Ni penzi gani hilo Gwajima kampa Flora mpaka kamchanganya kiasi hicho....???


Ngoja nilale...Kesho nitarudi hapa na kule kwenye ule uzi wa The bold

Hiyo Kauli kwenye nyekundu inanikumbusha wimbo TERESA wa Jerry Nashon "Dudumizi" akiwa na Vijana Jazz
 
Usifanye maskhara,toto kama lile lichukuliwe na Gwajima hivi hivi,hata mimki sikubali!!!!!Ila ni muhimu kujua WENZETU hawa zikiwatembelea,ndoa hakunaaa.Ukibisha we bisha tu!!!!!
 
Back
Top Bottom