kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Huyu jamaa ni mwanaume mwenzangu, lakini hili jamaa ni jinga sana. Sishangai ndoa yake kufikia hatua iliyofikia, anakabiliana na serious issue yeye analeta mchezo wa kuugiza. Ngoja siku aambiwe unahukumiwa jela miaka 30 pamoja na viboko 24, 12 wakati wa kuingia na 12 wakati wa kutoka wanyampara wakale mzigo mlaini mtoto wa mayai mayai ndipo atakapo kumbuka kwamba ni heri angejifanya mjinga kutafuta kila njia ya kidemocracy aweze kuongea na frola kuyamaliza.
Wanao sema frola ana roho mbaya, mimi nawaona wajinga tu. Embu mtu aje atembee na mke wangu nimbaini, hata kama anamwili kama the big show lazima nimfanyie kitu mbaya. Frola ni binadamu, hana roho ya chuma coz mapenzi yanaumiza.