chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Ndoa ni ya wawili wengine watazamaji tu.
Issue ya kubaka ni shauli lililopo Mahakamani,hivyo hakupaswa kulizungumzia!Na ishu ya kubaka anaizungumziaje?
İla hii yao ni ya watatu. Usimsahau roho mtakavitu Gwajima.
İla hii yao ni ya watatu. Usimsahau roho mtakavitu Gwajima.
Halafu Joyce Kiria, ndio anajitokeza kusambaratisha ndoa hii, lolote lile litakalotokea laana lazima impate Joyce Kiria!
İla hii yao ni ya watatu. Usimsahau roho mtakavitu Gwajima.[/QUOTE
hahahaa...umetisha...ROHO MTAKAVITU
siku zote mnaambiwa acheni kuingilia ugomvi wa wapendanao...mtaumbuka bure!! Mi yangu masikio..