Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

Kwamba,bado uko imara, tunamshukuru Mungu kwa hadhina hii ya viongozi wa upinzani ambao pamoja navitisho Vya kimahakama, dola na hats vifo bado wapi imara kututetea na kuitetea demokrasia yetu. We Mungu wabariki viongozi wetu
Wangejichanganya kwa Mwambe saa hii chama mingekua kinaelea mto rufiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila anaetoka Segerea anatangaza kufa press conference! Wameanza wakina mdee hatujui ata waliongea nn mwisho wa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…