Mimi aliniacha hoi Mbowe(Mandela wa Tanzania wasemavyo wafuasi wake) alipoisaidia CCM ishinde 2015 ile gia iliyobadilishwa angani ilikua yakuisaidia CCM iliyokua taabani. Mtu mmoja tu Mnyika alinishangaza kwakuling'amua hilo na kuamua kutojichafua kizembe. Nikawaza kumbe Mnyika anaupeo mkubwa chama chote peke yake.
Sijui 2020 Mbowe atakuja na msaada gani kwa CCM nasubiri tu kuona maigizo yasafari hii.
Kwangu mimi wanasiasa maslahi huwa sihangaiki nao. Wakati Watu wanahangaika na Mrema nilikaa pembeni nawaonea huruma, wakahangaika na Slaa nikakaa pembeni nawaangalia, sasa wako na Mbowe niko pembeni nawaangalia.
Kifupi Mbowe ni Mrema aliyechangamka, unaweza ukaja kuelewa Hili baada ya miaka hata kumi kutegemea na uzito wa akili yako
Sent using
Jamii Forums mobile app