Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Jina hufikisha ujumbe. Nadhani kwa jina lake hill ujumbe unaupata ndio maana ukalidadisi jina. Hivi ni sahihi kwa Mh. Msigwa kutumia cheo "Mchungaji"?Unachafua sana hilo jina unalotumia, usidhihaki watumishi wa Mungu. Hilojina haliendani hatakidogo na kariba yako humu jukwaani.
Ki-busara ungeweza tumia 'johnthedictator' au johnthejiwe au hats johnthefearful
Hakuna cha kudadisi jina lipo wazi mfano we unajiita 'mtamu' sijajua unaliwa au vp...(no disrespect)Jina hufikisha ujumbe. Nadhani kwa jina lake hill ujumbe unaupata ndio maana ukalidadisi jina. Hivi ni sahihi kwa Mh. Msigwa kutumia cheo "Mchungaji"?
huna hojaMwalimu hajasema majority. Amesema nanukuu, "Sijaona slip ya 50,000/=, nimeona za 1000, 700 na 500". Mwisho wa kunukuu. Wewe ni nyumbu tu. Wadanganye nyumbu wenzako. Kama vipi weka slip yako ya milioni 15 unishushue kama una ubavu!
Kuna nyingine iko jikoni wanamalizia kuunga viungo,CCM hawaishiwi visaHakuna jipya......kesi imeisha sasa imarisheni chama!
Atakuwa na mpya gani? Kunyolewa para na kuvuliwa nguo? Ngoja tusubiri.View attachment 1387272
View attachment 1387273
Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Wote Mnakaribishwa
Acha kuwa unasema ukweli, utawajanjalua na mafalaMimi aliniacha hoi Mbowe(Mandela wa Tanzania wasemavyo wafuasi wake) alipoisaidia CCM ishinde 2015 ile gia iliyobadilishwa angani ilikua yakuisaidia CCM iliyokua taabani. Mtu mmoja tu Mnyika alinishangaza kwakuling'amua hilo na kuamua kutojichafua kizembe. Nikawaza kumbe Mnyika anaupeo mkubwa chama chote peke yake.
Sijui 2020 Mbowe atakuja na msaada gani kwa CCM nasubiri tu kuona maigizo yasafari hii.
Kwangu mimi wanasiasa maslahi huwa sihangaiki nao. Wakati Watu wanahangaika na Mrema nilikaa pembeni nawaonea huruma, wakahangaika na Slaa nikakaa pembeni nawaangalia, sasa wako na Mbowe niko pembeni nawaangalia.
Kifupi Mbowe ni Mrema aliyechangamka, unaweza ukaja kuelewa Hili baada ya miaka hata kumi kutegemea na uzito wa akili yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wamama wale Halima na Ester hawakunyolewa?wafungwa wa Tanzania hunyolewa nywele