Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
 
Attachments

  • IMG-20250209-WA0004.jpg
    IMG-20250209-WA0004.jpg
    183.7 KB · Views: 2
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
Wanajeshi wa magwanda tu, hawajawahi kuingia front na vita wanaziona tu kweneye cinema za Chuck Norris na Rambo. Kiufupi watoto wa PK ni raia tu
 
Mambo ya wakongomani na wanyarwanda tuachane nayo na tuangalie yetu. Kwani hata huyo tchekedi sijui, huyo raisi wa congo hayupo madarakani kihalali. Hakuna sababu ya kupoteza muda na vijana wetu.
Congo ni mteja wetu mkubwa bila ya congo banadari yetu itayumba, huwezi kupeleka mizigo kama kuna vita, na ukirihusu hwa waasi wawe na nguvu kupambana na jeshi la serikali ina maana hata wewe hapa nchini kwako wanaweza kuja kukuvamia na kusema geita ni mali yao wakaanza kukusumbua hawa waasi sio wa kuchekewa
 
Mambo ya wakongomani na wanyarwanda tuachane nayo na tuangalie yetu. Kwani hata huyo tchekedi sijui, huyo raisi wa congo hayupo madarakani kihalali. Hakuna sababu ya kupoteza muda na vijana wetu.
Unajua faida ya uwepo Kwa usalama wa congo Dr??? Watu wanaangalia soko la biashara kwani congo ni landlocked country, hvyo mizigo Yao inapitia bandari ya dsm. So lazima kuwe na amani Kwa mustakali wa uchumu wetu.
 
Back
Top Bottom