Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
Msimpe kichwa.... kama wakulu wakiamua ni suala la dakika tu anapotea ulimwenguni
 
Congo ni mteja wetu mkubwa bila ya congo banadari yetu itayumba, huwezi kupeleka mizigo kama kuna vita, na ukirihusu hwa waasi wawe na nguvu kupambana na jeshi la serikali ina maana hata wewe hapa nchini kwako wanaweza kuja kukuvamia na kusema geita ni mali yao wakaanza kukusumbua hawa waasi sio wa kuchekewa
Unauhakika hao ni waasi kweli, au wanalinda ardhi yao isiporwe na wanyang'anyi
 
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
Kale kazee kajeuri sana.
 
Kama ye ni mwamba si angesema mkutanoni kwamba hakuna wa kutupangia,huku akiwanyooshea vidole marais wenzie hususan samia
Sasa hatq angefanya hivyo kwa sa100 wewe unafikiri sa100 angefanya kitu gani, angemfunga pingu?
 
Tatizo hakufanya,angefanya ungeona angefanywaje
Yaani raisi wa nchi nyingine umletee vurugu kwakua upo kwako ndani ya dakika 10 nchi ishazingirwa na wananchi wako wanalambwa risasi tu nafikiri uwajui wanyarwanda vizuri
 
Back
Top Bottom