Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Mambo ya wakongomani na wanyarwanda tuachane nayo na tuangalie yetu. Kwani hata huyo tchekedi sijui, huyo raisi wa congo hayupo madarakani kihalali. Hakuna sababu ya kupoteza muda na vijana wetu.
kwahiyo anaeumia ni huyo rais au raia wenzetu wa DRC ? leo DRC kesho Tanganyika , na watatumia kauli hiyo hiyo , tulitawaliwa kwa akili kama hz leo bado tunazitukuza UBINAFSI
 
Chanzo cha mgogoro ni hawa Intarahamwe waliokimbilia DRCongo na sasa wanataka kuipindua serikali ya Kagame. Soma hi ripoti ya Human Right Watch hapa chini:

In 1994 the Rwandan government, dominant parts of its army (Forces Armées Rwandaises, FAR), and members of the Interahamwe7 militia directed a genocide against the Tutsi of Rwanda which took more than half a million lives. After being defeated by the Rwandan Patriotic Army (RPA), the military force of the Rwandan Patriotic Front (RPF), the government responsible for the genocide then led more than a million Hutu into exile in Congo, then Zaire, where civilian refugees and the military together established themselves in camps along the border. Under the direction of the defeated political and military leaders, soldiers and militia reorganized and rearmed within the refugee population, preparing for new attacks on Rwanda. Although such military activity was prohibited by international convention, neither U.N. agencies nor the larger international community intervened to halt the preparations.8

THE WAR WITHIN THE WAR
kwann wahutu waliwaua watutsi ? je nan alianza mshambulia mwenzie Mhutu au Mtutsi ? je watutsi walishindaj vita bila kuwaua wahutu ? je kwann tunaambiwa kuwa wahutu ndio waliua watutsi halaf mshindi akawa Mtutsi , watutsi wanacheza na akili zetu sana na wajinga kama ww ndo mnashikwa akili, Nan alimuua Habyamara ? je wahutu waliwai washambulia watutsi kabla ya kifo cha Habyamara ?
 
Tatizo viongozi wa afrika asilimia kubwa wanatawala kigaidigaidi hakuna mwenye usafi wa kuweza kumukemea mwenzake akili zao wamewekeza kwa wazungu,kama Trump hataingilia kati kumshughurikia Kagame atawapelekesha sana,na bila Kagame kudhibitiwa baada ya kumalizana na Kongo utasikia anaichapa Burundi,mwisho afrika mashariki yote itachapwa na Kagame.
na kisingizio chake ni INTERAHAMWE
 
Unauhakika hao ni waasi kweli, au wanalinda ardhi yao isiporwe na wanyang'anyi
Hapo mashariki ya DRC palikuwa na jamii mchanganyiko yaan jamii zenye asili ya Rwanda ( wahutu , watutsi na watwaa ) pamoja na wenye asili za DRC , kwann wengine wote hawana shida na serikali ya DRC ila ni jamii moja tu ya watutsi na sio wahutu au watwaa ambao wote ni wanyarwanda ?
Kama umewai ishi na watutsi bas huez shangaa kwann wanapigwa vita , hao watu ni wabinafsi sana na wanapenda kupewa special care
 
1739141272689.png
 
Kumpangia nini?hakuna wa kumpangia labda akiwa Rwanda ila akitoka nje ya Rwanda ni PAKA kama paka wengine
Ujamalizia ... .. paka kama paka shume..........mbona hakujibu hivyo alivyokuwa hapa haone kama Rwanda hangerudi tena
 
kwahiyo anaeumia ni huyo rais au raia wenzetu wa DRC ? leo DRC kesho Tanganyika , na watatumia kauli hiyo hiyo , tulitawaliwa kwa akili kama hz leo bado tunazitukuza UBINAFSI
Tuko pamoja mkuu. Kero yangu, ni pale hao wakuu wa jumuiya mbili EAC, SADC sijui kutokuwa na maamuzi stahiki. Kwani ujio wao DAR umebadilisha nini? adui amejulikana kwamba ni kagame. Kwanini wasipeleke majeshi ya kutosha na kuwafyeka hao aliowafyeka jk?
 
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
Tusubirie Ramani mpya ya Rwanda na DRC.
 
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
Yuko sahihi kabisa kwa kiasi kikubwa.
Suala la Usalama ni nyeti sana, siyo jambo la kulifanyoa masihara. Wajibu wa Usalama wako unaanzia na wewe mwenyewe binafsi.
Huyo kagame angekuwa wetu tungekuwa mbali🤣🤣
Majibu ya kiume
Hataki upuuzi kwenye masuala haya ya Usalama.

Usalama kwanza mengine baadaye!
 
Hapo mashariki ya DRC palikuwa na jamii mchanganyiko yaan jamii zenye asili ya Rwanda ( wahutu , watutsi na watwaa ) pamoja na wenye asili za DRC , kwann wengine wote hawana shida na serikali ya DRC ila ni jamii moja tu ya watutsi na sio wahutu au watwaa ambao wote ni wanyarwanda ?
Kama umewai ishi na watutsi bas huez shangaa kwann wanapigwa vita , hao watu ni wabinafsi sana na wanapenda kupewa special care
Sasa waende wp pamoja na hizo shida zao walizonazo nazo? kama unakili na wenyewe watusi ni sehemu ya jamii iliyokuwepo hapo kwa nn waondolewe sehemu yao ya asili?

Pengine ni kweli hao watusi ni kichomi lkn kwa upande wa pili wanaweza kuwa na madai yao halali na hawasikilizwi, so tusichague upande wa kutetea. Mazungumzo ndio suluhu ya mgogoro wao.
 
Felix Tshisekedi na Congo Kinshasa watajutia msaada mkubwa wa Paul Kagame pamoja na nchi za SADC / EAC wanaojitoa katika jitihada zao za kuleta amani Congo, lakini serikali iliyopo Kinshasa inazibagaza, kuzitweza na kuzilaani

TOKA MAKTABA :

7 January 2025

JE, KWELI WAAFRIKA HAWANA SHUKRANI? HISTORIA INAPOMPINGA MACRON


1739181417447.jpeg

Macron Atukana Mataifa ya Afrika: Chad na Senegal Zarejea | Vantage with Palki Sharma Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanzisha mapambano na mataifa mengi ya Afrika ambayo yamewafukuza wanajeshi wa Ufaransa. Macron anasema nchi za Kiafrika "zilisahau kuishukuru Ufaransa" kwa kutuma wanajeshi kusaidia
 

Felix Tshisekedi aitazame hii picha kwa umakini mkubwa, hii miezi mitatu ya kufuatilia mchakato wa amani chini ya ma chief of army staffs wa SADC / EAC ni wanasubiri ripoti ni miezi mingapi ya kufika Kinshasa.

MPANGOKAZI WA SADC / EAC:

Afafanua waziri wa Rwanda kuhusu kilichojiri katika mkutano wa faragha wa viongozi wa nchi za SADC / EAC kuhusu amanì Congo

Habari kutoka kwa Waziri Nduhungirehe kuhusu Mkutano wa pamoja wa wakuu wa nchi wanachama wa EAC na SADC unaofanyika jijini Dar es Salaam


View: https://m.youtube.com/watch?v=9JDBZOqCKYo
Waziri Olivier Jean Patrick Nduhungirehe wa Rwanda akitoa maelezo ya ndani kuhusu mkutano wa Dar es Salaam kuhusu jitihada na mikakati ya kuufanikisha amani Congo...

Kuunganisha mchakato wa Luanda unaosimamiwa na rais wa Angola mheshimiwa João Lourenço pia na mchakato wa Nairobi chini ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta ili kuharakisha...

Michakato ya amani ya Luanda na Nairobi, ni miongoni mwa maazimio muhimu ya mkutano wa pamoja wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika uliofanyika Dar es Salaam, Tanzania, Jumamosi, Februari 8, 2025.

Msisitizo tena wa wito wa mkutano huo kwa Tshisekedi 'kuzungumza moja kwa moja' na waasi wa M23 Jambo lingine muhimu ni wito wa viongozi wa kutekelezwa kwa mpango ulioidhinishwa wa awali wa upatanishi .....

Jopo la wakuu wa nchi 3 kuundwa kufuatilia maazimia ya mkutano wa Dar es Salaam ili maazimio hayo ya usitishwaji yatakayo simamiwa na Wanadhimu wakuu wa Majeshi (Joint Chief Army of Staffs) wa majeshi ya nchi za SADC kusimamia usitishwaji wa mapigano Mashariki ya Congo ..

Sekretariati kuundwa kufuatilia kwa ukaribu uimarishwaji amani kila siku na kutoa ripoti ya hali halisi ya siku kwa siku inavyoendelea ...

Makubaliano ya mwezi Machi tarehe 23 mwaka 2009 ambayo yanavunjwa na serikali ya Kinshasa kila siku, lazima yaheshimiwe ili kundi la M23 liweze kuiamini serikali ya Congo

Sisi kama nchi jirani na Congo pamoja na za ukanda wa SADC pia EAC zipo tayari kuisaidia serikali ya Kinshasa ipate amani kupitia mchakata wa Luanda / Nairobi ambayo sasa imeunganishwa ili kuharakisha amani ipatikane Congo
 
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
Kawaona mazuzu,huyo inatakiwa kichapo hadi nchini kwake
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha yeye asubiri tu anguko lake
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
 
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda

Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi

Credit: Citizen TV
Ila yeye anawapangia wengine si ndio?....anaingiza majeshi yake kwenye nchi nyingine na kuendesha shughuli za kijeshi kimabavu, ..bahati yake amevamia nchi ambayo ni collapse state, rais wake ni dhaifu yani sijawahi ona rais mtepetevu kama tshekedi amebaki kufuga tumbo na mashavu kama anapuliza moto ikulu huku raia alioapa kuwalinda wakiuwawa na adui anaemfaham.
 
Back
Top Bottom