Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Baada ya Kutoka mkutanoni Dar es salaam Kagame atoa Tamko na kusema " Hakuna wa Kutupangia"

Kagame hamung'unyi maneno kama walivyo wengine.Aina ya viongozi Hawa ni wachache sana duniani na watanzania inatakiwa tuwe na wa aina hii ili Nchi iwe huru na siyo kuwa wakopakopa hovyo Kwa mabeberu
 
Yaani raisi wa nchi nyingine umletee vurugu kwakua upo kwako ndani ya dakika 10 nchi ishazingirwa na wananchi wako wanalambwa risasi tu nafikiri uwajui wanyarwanda vizuri
Hawa watu wapo kama kijiji ndio watusumbue? Acheni utani bwana
 
Huyo asifikiri yupo salama sana nitatoka hapa nilipo niende mpaka Kigali nimchape kofi moja halafu nirudi zangu kulala.
 
Tatizo viongozi wa afrika asilimia kubwa wanatawala kigaidigaidi hakuna mwenye usafi wa kuweza kumukemea mwenzake akili zao wamewekeza kwa wazungu,kama Trump hataingilia kati kumshughurikia Kagame atawapelekesha sana,na bila Kagame kudhibitiwa baada ya kumalizana na Kongo utasikia anaichapa Burundi,mwisho afrika mashariki yote itachapwa na Kagame.
Viongozi wa Kongo kwanza ni wabinafsi,wanashindwa kuwa na jeshi imara tangu enzi za Mobutu hadi leo,viongozi wanajua wapo kwenye eneo lenye mgogoro tangu zamani na wana raslimali nyingi,walipaswa kuwekeza kwenye jeshi na kuwa na vifaa vya kijeshi vya kisasa,huyoKagame asingethubutu kwani kwa udogo wa nchi hiyo unapiga kutoka Goma hadi Kigali,sasa waache walielie.Sasa hivi karne hii siyo ya kutembea na vifaru mtaani ,kwani vinateketezwa vyote,Tazama yaliyotokea Ukraine na Urusi,vifaru viliunguzwa kama makaratasi.
 
Yaani raisi wa nchi nyingine umletee vurugu kwakua upo kwako ndani ya dakika 10 nchi ishazingirwa na wananchi wako wanalambwa risasi tu nafikiri uwajui wanyarwanda vizuri
Wanyarwanda hawa hawa au unazungumzia taifa lipi? Usitufanye sisi watoto, Rwanda acheze huko huko porini saidi yake Burundi
 
Hivi kwanini Rwanda isiwekewe vikwazo? Ili tuone hizo silaha zitawafikiaje hao m23. Tukiendelea hivi ataendelea kupeleka jeshi Kongo anachimba madini anapata hela ananunua masilaha makubwa, mwisho atakuja kuichukua kweli kongo yote hata east africa kabisa. Mdharau mwiba mguu huota tende
Yuko pamoja na Kenya,mchezo hujausoma kumbe!!..huyo anayejifanya kiongozi wa river congo alliance,alikimbilia kenya akaanzisha huo umoja,hiyo kambi ni Rwanda,kenya,uganda..ni ile cow iliyofeli,so atapitishia mombasa
 
Hii ni kauli ya kijinga kwa kiongozi,watu wanajadili Amani ya Congo,halafu ye aseme hakuna wa kumpangia,ujinga
Na ingependeza kama angesema hapo hapo mkutanoni, na sio ameshatoka ndio unaanza kuchonga
 
Chanzo cha mgogoro ni hawa Intarahamwe waliokimbilia DRCongo na sasa wanataka kuipindua serikali ya Kagame. Soma hi ripoti ya Human Right Watch hapa chini:

In 1994 the Rwandan government, dominant parts of its army (Forces Armées Rwandaises, FAR), and members of the Interahamwe7 militia directed a genocide against the Tutsi of Rwanda which took more than half a million lives. After being defeated by the Rwandan Patriotic Army (RPA), the military force of the Rwandan Patriotic Front (RPF), the government responsible for the genocide then led more than a million Hutu into exile in Congo, then Zaire, where civilian refugees and the military together established themselves in camps along the border. Under the direction of the defeated political and military leaders, soldiers and militia reorganized and rearmed within the refugee population, preparing for new attacks on Rwanda. Although such military activity was prohibited by international convention, neither U.N. agencies nor the larger international community intervened to halt the preparations.8

THE WAR WITHIN THE WAR
 
pu
Mmh!

Kuwa mbali kwa kuvamia nchi za watu, kukalia majimbo ya Goma na Kivu ili kuiba rasilimali za watu?

Nadhani kunakuwaga na njia za kiutu zaidi za kufika mbali, njia kama hizo za Kiputin zinakuwaga na mwisho mbaya.
putin ndio rais wa dunia we mzeee ebu mwache mwamba putin
 
Back
Top Bottom