Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
NishafikaUnachelewa nini sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NishafikaUnachelewa nini sasa
Anatindikiwa hekma na busara huyu ndugu yako.Huyo kagame angekuwa wetu tungekuwa mbali🤣🤣
Hahah safi sana.Kumpangia nini?hakuna wa kumpangia labda akiwa Rwanda ila akitoka nje ya Rwanda ni PAKA kama paka wengine
Hawa watu wapo kama kijiji ndio watusumbue? Acheni utani bwanaYaani raisi wa nchi nyingine umletee vurugu kwakua upo kwako ndani ya dakika 10 nchi ishazingirwa na wananchi wako wanalambwa risasi tu nafikiri uwajui wanyarwanda vizuri
Viongozi wa Kongo kwanza ni wabinafsi,wanashindwa kuwa na jeshi imara tangu enzi za Mobutu hadi leo,viongozi wanajua wapo kwenye eneo lenye mgogoro tangu zamani na wana raslimali nyingi,walipaswa kuwekeza kwenye jeshi na kuwa na vifaa vya kijeshi vya kisasa,huyoKagame asingethubutu kwani kwa udogo wa nchi hiyo unapiga kutoka Goma hadi Kigali,sasa waache walielie.Sasa hivi karne hii siyo ya kutembea na vifaru mtaani ,kwani vinateketezwa vyote,Tazama yaliyotokea Ukraine na Urusi,vifaru viliunguzwa kama makaratasi.Tatizo viongozi wa afrika asilimia kubwa wanatawala kigaidigaidi hakuna mwenye usafi wa kuweza kumukemea mwenzake akili zao wamewekeza kwa wazungu,kama Trump hataingilia kati kumshughurikia Kagame atawapelekesha sana,na bila Kagame kudhibitiwa baada ya kumalizana na Kongo utasikia anaichapa Burundi,mwisho afrika mashariki yote itachapwa na Kagame.
Ukimpiga chenga au ukimchezea rafu ya bahatimbaya anachomoa bastolaNa hapo kwenye mchezo ole wake umfunge goli au udake mpira aliopiga usiingie goilini
Wanyarwanda hawa hawa au unazungumzia taifa lipi? Usitufanye sisi watoto, Rwanda acheze huko huko porini saidi yake BurundiYaani raisi wa nchi nyingine umletee vurugu kwakua upo kwako ndani ya dakika 10 nchi ishazingirwa na wananchi wako wanalambwa risasi tu nafikiri uwajui wanyarwanda vizuri
Tena fastaUkimpiga chenga au ukimchezea rafu ya bahatimbaya anachomoa bastola
Ana nchi ukubwa kama mkoa wa kwani,watu 22m,na barabara hazina lamiHuyo kagame angekuwa wetu tungekuwa mbali🤣🤣
Yuko pamoja na Kenya,mchezo hujausoma kumbe!!..huyo anayejifanya kiongozi wa river congo alliance,alikimbilia kenya akaanzisha huo umoja,hiyo kambi ni Rwanda,kenya,uganda..ni ile cow iliyofeli,so atapitishia mombasaHivi kwanini Rwanda isiwekewe vikwazo? Ili tuone hizo silaha zitawafikiaje hao m23. Tukiendelea hivi ataendelea kupeleka jeshi Kongo anachimba madini anapata hela ananunua masilaha makubwa, mwisho atakuja kuichukua kweli kongo yote hata east africa kabisa. Mdharau mwiba mguu huota tende
Pesa ya kuweka kikosi huko,ile ilikua chini ya UNUmenena vema mkuu. Sasa kama ndivyo, hakuna haja ya kuwabembeleza m23. JWTZ wapelekwe kwa wingi kama alivyofanya JK. na baada ya ushindi wasalie huko kwa miaka mingi hadi kutulie kabisa.
Hiyo ndiyo mentality ya watutsi,kwamba wao watu sana,bora na hawapaswi kutawaliwaKajamaa kana dharau sana.
Ukimwangusha chini unafunguliwa kesi ya kuiangusha nchi ambapo hukumu yake ni kunyongwaTena fasta
Na ingependeza kama angesema hapo hapo mkutanoni, na sio ameshatoka ndio unaanza kuchongaHii ni kauli ya kijinga kwa kiongozi,watu wanajadili Amani ya Congo,halafu ye aseme hakuna wa kumpangia,ujinga
putin ndio rais wa dunia we mzeee ebu mwache mwamba putinMmh!
Kuwa mbali kwa kuvamia nchi za watu, kukalia majimbo ya Goma na Kivu ili kuiba rasilimali za watu?
Nadhani kunakuwaga na njia za kiutu zaidi za kufika mbali, njia kama hizo za Kiputin zinakuwaga na mwisho mbaya.